Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.
2. Dada wa kazi hapa nyumbani...
Heri ya mwaka mpya wana MMU!
Last year was one of the very successful year in my life so far in almost every angle, however that does not mean I had no challenges, big ones (which somehow made me...
Leo, Machi 8, 2019 ni siku kama siku nyingine yoyote ile katika maisha yetu lakini kinachoifanya iwe na tofauti ya kipekee ni sababu kwanza Mwenyezi Mungu katujalia kuiona leo ukifananisha na...
Utachukua hatua gani ukisikia/Shuhudia mke wako uliyemuoa Bado anapasha kiporo(kutinduliwa/Kubanduliwa/Kufukunyuliwa) na X wake(Mpenzi wake wa zamani)?
CC Zero IQ
Katika maisha ya mwanadamu hupitia hatua kuu tatu nazo ni kuzaliwa upo chini ya wazazi, kuna hatua ya kuoa maamzi yapo na familia yako na mwisho ni uzee na kifo japo haujulikani utaishi miaka...
Wadau,
Hivi kma mpenzi wako yuko mbali kuna ulazima wa yeye kukumbuka asubuhi na jioni?
Na asipo kukumbuka inamaanisha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.
Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.
Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila...
Kuna hatua ambayo watu wengi ni lazima tuipitie kwa namna moja au nyingine katika maisha yetu ya hapa duniani.
Hatua hii huonekana mbele ya jamii ni kama hatua yenye furaha sana na upendo pamoja...
Wadau hiv ni kwann inakua ngumu sana kurudisha koloni lako la zaman (x) .utabembeleza wee lkn no..n kwangu tu au nanyie pia yanawakuta? Au wanakutana na vidume vinavyo care zaidi mana wanakua na...
Juzikati nilikuwa naumwa nikaenda hospital baada ya vipimo nikagundulika naumwa vitu kama vitatu malaria, typhoid na STD disease nikapewa dozi nilivyorudi geto baadhi ya watu walinipa pole na...
Mapenzi yana raha mkionana, milango yote ya fahamu inakuwa kazini.
Macho yanafaidi, masikio, ulimi, ngozi na pua pia, ndio maana ni lazima mjiandae na kujiweka safi miili na chumba chenu kabla...
tumekuwa tukisoma na kusimuliwa karne nyingi za nyuma kulikuwa na viumbe kama Godzilla, dinosaurs, dragon na etc, lkn walipotea kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Na inasemekana miaka...
Wadau hasa wanaume wenye kipato cha kawaida, ni kwa kiasi gani utam-judge mwanamke anapenda hela sana au la, kipindi cha uchumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau habarini za muda!
Rejea kichwa cha post,Kiukweli nina hamu sana na mwanamke, kama kuna ambaye yupo single aje Inbox tuyajenge tukatoane ny*ge. Sichagui umri wala rangi cha msingi tu awe na...
Mbunge wa kuteuliwa wa Kenya, Bi. Sonia Birdi amesema yeye yupo single mpaka sasa kwa sababu hakuna mwanaume aliyewahi kumtongoza.
Wana JF kenya inaonekana wapenda Mario hakuna