Mfanyakazi (msaidizi wa nyumbani) ana busara kuliko mke wangu

Status
Not open for further replies.

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.

2. Dada wa kazi hapa nyumbani (Housegirl) tupo nae mwaka wa 5 sasa. Kiukweli (bila unafiki) Dada huyu ni mtu mwenye busara na mvumilivu pia mchapakazi haswaa na anawajali watoto katika kuwaandaa kwenda shule, usafi wa nyumbani, vyakula (pia kubana matumiz yasiyo ya lazima).

3. Mke wangu naye ni mfanyakazi (Mwalimu wa Shule ya Msingi, tatizo lipo kwenye namna tunavyoishi humu ndani, mke amegeuka kuwa mtu wa KUGOMBEZA, akiingia home anagombezwa kila mtu kuanzia House girl, mimi mumewe na changanya watoto.

4. Pamoja na kugombezwa kote huko binti wa kazi huwa hajibu zaidi ya kuwa mkimya kisha huendelea na kazi zake, na wakati mwingine huomba radhi hata kama kosa si lake.
5.
**In short, mama mwenye nyumba akiwepo ni wote tunakuwa wapole, ni mwendo wa kugombezwa tu mpaka inapofika mida ya kulala, takribani saa 5 usiku.
 
NB: Najuta kumuoa huyu mwanamke wa Kichaga toka Lambo, Machame.
wanawake wote wako hivyohivyo. huyo housegirl unayemwona mpole na mwenye busara, ukimfukuza huyo mkeo yeye akawa mke wako, atabadilika na kuwa bora hata ya huyo mkeo wa sasa. anaweza kuwa anaficha makucha tu kwasababu yeye anajijua housegirl. si unajua masikini akipata makalio hulia pwaaaaaaaaaaaaaaa
 
Unagombezwa vipi na mkeo sasa wewe ndio kichwa kwenye nyumba kama wewe unamatatizo.. moja wapo ndiyo hilo ya kumsifu bekitatu wako humu jukwaani na kumponda mkeo hadharani humu. ONGEA KAMA MWANAUME NA MKEO NA FAMILIA YAKO MAMBO YAWE SAFI.
 
Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.

2. Dada wa kazi hapa nyumbani (Housegirl) tupo nae mwaka wa 5 sasa. Kiukweli (bila unafiki) Dada huyu ni mtu mwenye busara na mvumilivu pia mchapakazi haswaa na anawajali watoto katika kuwaandaa kwenda shule, usafi wa nyumbani, vyakula (pia kubana matumiz yasiyo ya lazima).

3. Mke wangu naye ni mfanyakazi (Mwalimu wa Shule ya Msingi, tatizo lipo kwenye namna tunavyoishi humu ndani, mke amegeuka kuwa mtu wa KUGOMBEZA, akiingia home anagombezwa kila mtu kuanzia House girl, mimi mumewe na changanya watoto.

**In short, mama mwenye nyumba akiwepo ni wote tunakuwa wapole, ni mwendo wa kugombezwa tu mpaka inapofika mida ya kulala, takribani saa 5 usiku.

NB: Najuta kumuoa huyu mwanamke wa Kichaga toka Lambo, Machame.
We sema ushagonga huyo beki 3 sasa unatafuta sababu za Kujihalalishia,
Endelea tu kaka kugonga,
Ikiwezekana timua wife kisha replace na huyo beki 3
 
Mkuu,.
Tubu kwanza maneno yako siyo mazuri kabisa kwa mkeo.

Kisha, tafuta muda labda ombeni mapumziko kazini kwenu, labda one week then, nenda mbali na home kwako ongea na mkeo , mjadili hali hiyo ukiwa naye tu.

Kisha, jirekebisheni wote (wewe na mkeo), familia haijengwi kwa majuto na kususa bali kwa mazungumzo na matengenezo.

Then, mpende mkeo maana ulimpenda, kisha ukaamua kumuoa hata kabla hujakutana na huyo msaidizi wa nyumbani kwako.

Any way, mwanaume mjinga humsema mkewe mbele za watu na kusambaza mapungufu yake kwa kila mtu.

Mimi ni mwanaume, nina familia tena baada ya kuoa tu, mke wangu ndiye nimemfanya kuwa rafiki na ndugu yangu wa kwanza.

Ila wewe unahitaji sana kurekebisha mambo yako wewe mwenyewe kisha ongea na mkeo utakuwa poa.

Acha upoyoyo.
 
Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.

2. Dada wa kazi hapa nyumbani (Housegirl) tupo nae mwaka wa 5 sasa. Kiukweli (bila unafiki) Dada huyu ni mtu mwenye busara na mvumilivu pia mchapakazi haswaa na anawajali watoto katika kuwaandaa kwenda shule, usafi wa nyumbani, vyakula (pia kubana matumiz yasiyo ya lazima).

3. Mke wangu naye ni mfanyakazi (Mwalimu wa Shule ya Msingi, tatizo lipo kwenye namna tunavyoishi humu ndani, mke amegeuka kuwa mtu wa KUGOMBEZA, akiingia home anagombezwa kila mtu kuanzia House girl, mimi mumewe na changanya watoto.

4. Pamoja na kugombezwa kote huko binti wa kazi huwa hajibu zaidi ya kuwa mkimya kisha huendelea na kazi zake, na wakati mwingine huomba radhi hata kama kosa si lake.
5.
**In short, mama mwenye nyumba akiwepo ni wote tunakuwa wapole, ni mwendo wa kugombezwa tu mpaka inapofika mida ya kulala, takribani saa 5 usiku.
NB: Najuta kumuoa huyu mwanamke wa Kichaga toka Lambo, Machame.

MPE mke wako mapenzi kisawa sawa hakikisha unamhudumia atakuwa SAA zote ana smile. Hiyo kufoka foka kuna kitu anakimiss sana
 
Fanya maamuzi ya kiume kwa kumuoa HG na yeye kumwambia IMETOSHA. Usikubali kuendelea kudhalilishwa kiasi hicho kukosea kuoa ni jambo la kawaida lakini kuendelea kuishi na mke uliyekosea kumuoa ni kosa kubwa sana.

Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.

2. Dada wa kazi hapa nyumbani (Housegirl) tupo nae mwaka wa 5 sasa. Kiukweli (bila unafiki) Dada huyu ni mtu mwenye busara na mvumilivu pia mchapakazi haswaa na anawajali watoto katika kuwaandaa kwenda shule, usafi wa nyumbani, vyakula (pia kubana matumiz yasiyo ya lazima).

3. Mke wangu naye ni mfanyakazi (Mwalimu wa Shule ya Msingi, tatizo lipo kwenye namna tunavyoishi humu ndani, mke amegeuka kuwa mtu wa KUGOMBEZA, akiingia home anagombezwa kila mtu kuanzia House girl, mimi mumewe na changanya watoto.

4. Pamoja na kugombezwa kote huko binti wa kazi huwa hajibu zaidi ya kuwa mkimya kisha huendelea na kazi zake, na wakati mwingine huomba radhi hata kama kosa si lake.
5.
**In short, mama mwenye nyumba akiwepo ni wote tunakuwa wapole, ni mwendo wa kugombezwa tu mpaka inapofika mida ya kulala, takribani saa 5 usiku.
NB: Najuta kumuoa huyu mwanamke wa Kichaga toka Lambo, Machame.
 
Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.

2. Dada wa kazi hapa nyumbani (Housegirl) tupo nae mwaka wa 5 sasa. Kiukweli (bila unafiki) Dada huyu ni mtu mwenye busara na mvumilivu pia mchapakazi haswaa na anawajali watoto katika kuwaandaa kwenda shule, usafi wa nyumbani, vyakula (pia kubana matumiz yasiyo ya lazima).

3. Mke wangu naye ni mfanyakazi (Mwalimu wa Shule ya Msingi, tatizo lipo kwenye namna tunavyoishi humu ndani, mke amegeuka kuwa mtu wa KUGOMBEZA, akiingia home anagombezwa kila mtu kuanzia House girl, mimi mumewe na changanya watoto.

4. Pamoja na kugombezwa kote huko binti wa kazi huwa hajibu zaidi ya kuwa mkimya kisha huendelea na kazi zake, na wakati mwingine huomba radhi hata kama kosa si lake.
5.
**In short, mama mwenye nyumba akiwepo ni wote tunakuwa wapole, ni mwendo wa kugombezwa tu mpaka inapofika mida ya kulala, takribani saa 5 usiku.
NB: Najuta kumuoa huyu mwanamke wa Kichaga toka Lambo, Machame.

So simple change gear angani maisha yaendelee
 
wanawake wote wako hivyohivyo. huyo housegirl unayemwona mpole na mwenye busara, ukimfukuza huyo mkeo yeye akawa mke wako, atabadilika na kuwa bora hata ya huyo mkeo wa sasa. anaweza kuwa anaficha makucha tu kwasababu yeye anajijua housegirl. si unajua masikini akipata makalio hulia pwaaaaaaaaaaaaaaa
Hata Magufuli kabla hajawa rais hakuwa na kiburi kama alichonacho sasa.

Hata wanaume wengine wako hivyo, kwa hiyo hili si suala la wanawake tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom