Girlfriend wangu anapenda kuvaa nguo za kiume!

Girlfriend wangu anapenda kuvaa nguo za kiume!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Eee bhana swaga zake sizielewi kabisa.
Setka zote poa napata mambo ila anafuga rasta,,,napikiwa,mahitaji yote ya kiume napata,kupikiwa na kufuliwa,..anakaa sana kisela,tunatoka out halafu anavaa shots zangu na viatu.

Vurugu ikitokea tunapiga mkono lazima awe upande wangu ,hakuna siku kaniacha,mbona pombe kali tunakunywa wote.

Ee bhana ishu ni kwamba tukitaka kwenda out anatafuta nguo zangu kwenda out ,ili mradi wote tuonekane wanaume.

Tukikubaliana na masela zangu kukutana na wapenzi wetu,mi nikimwita tu join utamkuta kavaa shot yangu ,t-shirt yangu,kwenye mjadala anaongea points na watu wanamkubali.

Je ananifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jukumu lako kubadilisha.. Mwambie vile unapenda avae na venye hupendi.. Nakazalika nakazalika

Nb: watu wengi tunafeli hapa... Mtu unagundua shida/ matatizo na blah blah nyinginezo za partner wako badala ya kumwambia/ kumshirikisha muhusika ili kuyajadili / kusovu kwanza... Tunakimbilia mitandaoni.. Kuyaeksipozi

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuvaliana ni kawaida tu,inategemea hisia zake kwa muda ule zikoje;binafsi bi mkubwa akijisikia anavaa boxa,tshirt...na mimi huwa namtazama nacheka tu.Lakini ndio maisha yalivyo.
 
Na ww vaa nguo za kike na uwe na swaga za kike

Sent using boeing 737 max8
 
Ok, ktk ilo unapata shida??.

Kamwe usiache kumwambia "you are so beautiful woman".. Nakama nia yako niyeye kuvaa magauni nanguo unazozitaka.

Nunua Gauni unalopenda, au vazi lolote lakike unalohisi akivaa atakua sexy kwako.

Alafu siku msapuraizi na alivae, akishavaa muelekeze ktk kioo, au kama huna nisawa tu ..kisha RUKA RUKA HUKU UKIPIGA YOWEEE "ohooooo what a beautiful? Hahahahah yayaya baby ?? Ni wewe??? Wowowowowowow i must confess this (Janeth) , you look tremendous beautiful !! Wooooh daaaaahh embu tutoke chap twendeeee !! Alafu hata mkiwa out, unaendelea kumsfiaaaa tuu

Uku unamshika mkono ,,, AISEEE,, Kuanzia siku iyo atavaa mapigo yakike tu kama shida yako ni nguo za kike.

Hope inaweza kua Suluhisho !!!.

Njia ya Pili...

[emoji117]MPIGE MIMBA .

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Anakufaa iwapotu anakupenda,,,

Kimsingi pia wajibu wa kumbadilisha aonekane unavyohitaji ni wakwako, hivyo basi fanya kumshape the way unahitaji wewe kupitia nguvu ya mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eee bhana swaga zake sizielewi kabisa.
Setka zote poa napata mambo ila anafuga rasta,,,napikiwa,mahitaji yote ya kiume napata,kupikiwa na kufuliwa,..anakaa sana kisela,tunatoka out halafu anavaa shots zangu na viatu.

Vurugu ikitokea tunapiga mkono lazima awe upande wangu ,hakuna siku kaniacha,mbona pombe kali tunakunywa wote.

Ee bhana ishu ni kwamba tukitaka kwenda out anatafuta nguo zangu kwenda out ,ili mradi wote tuonekane wanaume.

Tukikubaliana na masela zangu kukutana na wapenzi wetu,mi nikimwita tu join utamkuta kavaa shot yangu ,t-shirt yangu,kwenye mjadala anaongea points na watu wanamkubali.

Je ananifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bomba kishenzi, endelea kumpiga pumbu hadi ajisikie mke, ila bangi acheni,
Akiendelea basi na wewe vaa nguo zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom