ngulyavyangu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2019
- 203
- 266
Leo ni siku ya tatu nipo nyumbani kwa mpenzi wangu Rebecca maeneo ya Kibamba kwa Mangi.
Ndio Muda huu naaamka hata sijaswaki, my Rebecca ashaamka toka saa kumi na mbili anaendelea na shughuli zake(si mnajua mambo ya wanawake na usafi Mara kuandaa chai ilimradi wawe na pilikapilika tu asubuhi)
Aisee hii ndio mara yangu ya kwanza kwenda kwake, japo muda mrefu alikuwa ananibembeleza niende ila nilikuwa namzungusha. Nilikua nawaza Mimi Ngulyavyangu niende nikalale kwa mwanamke? Huo ni u-Jumalokole. Kumbe nilikosea.
Juzi kati nikaona hebu nijilipue niende maana mtoto kazidi kulialia niende. Aisee nilivyofika nilichokaaa; yaani kaja kunipokea stand kwa bashasha mujarabu sijawahi kuona, full mabusu hadharani hahahahahah
Nilivyofika sasa hapo nyumbani kwake ile anafungua geti tu, ndiiii uso kwa uso na mzee (baba mwenye nyumba). Rebecca hakuchelewesha akanitambulisha huyu ndio mume wangu mtarajiwa. Mzee alifurahi sana akaniambia niwe huru nisiwe na wasiwasi. Hahahah kichaa nikapewa rungu.
Aisee story ni ndefu, kiufupi toka Jumatano sitoki nje zaidi ya asubuhi kuota jua uwani na kurudi ndani.
Toka Jumatano nguo zangu sijui zilipo na sina mpango wa kujua zilipo. Mimi nashinda na khanga ya mpenzi wangu Rebecca nikirandaranda nayo uwani na chumbani.
Toka Jumatano kazi yangu ni kuoga, kula na kugegeda. Aisee siwazi kitu hapa
Nilipanga niondoke leo ila nimeahirisha. Nimeona bora niongeze siku walau tatu za ziada; sio kwa raha hizi
Aisee kama mwanamke wako ana ghetto bora uende kulala kwake kuliko kumuita kwako.
Mwanamke kuja kwako ni hasara, mara nauli, akija hata kama jiko lipo hapiki anataka umnunulie chipsi na kutiana tu hasara. Wengine akija ghetto hata kufagia hafagiii.
Bora ningejua mapema kwamba kuna raha kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app