Ninaamkiwa sana na watu,najiuliza nimeanza kuzeeka au inakuaje naamkiwa sana kila ninakopita napewa SHIKAMOO!?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,040
2,000
Waungwana wa humu nawasalimu sana

Tangu nirudi kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka 2018 nimekutana na hali ya kuamkiwa sana na watu mabinti kwa wakaka

Kisura mi ni HB haswa nna ndevu kiasi zenye mvi kwa mbali kama zile za Mbowe alipotoka Jela kipindi kile

Mustachi Mdogo Mdogo na vindevu kiasi chini ya lips kama vile vya Ramsey Nouh wa Nollywood

Sasa tangu nirudi tena huku kanda ya ziwa hasa maeneo ninayokaa kaa sana nimekua naamkiwa sana na watu,wengine nikiwaangalia naona wamenizidi umri ila wana niamkia,kuanzia ofisini,mitaani,kwenye vyombo vya usafiri ,bar na sehemu nyingine ninazokuwepo watu wamekua wakinipa sana shikamoo

Sasa najiuliza je sura yangu ya kizee au wananionaje hadi wanipe sana shikamoo!?

Mabinti nao hawapo nyuma kuniamkia sasa sijui wanataka kuninyima nini!??

Wale wakongwe waniambia kuamkiwa sana ishara ya nini? Kiumri nina 32 years tu lakini daaa shikamoo nazopewa utadhani mbabu wa miaka 70

Nini chanzo za hizi shikamoo jamaniii??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,116
2,000
Inaonekana umejiachia sana hadi mwili kuporomoka na kuonekana una miaka mingi,kuzuia hiyo hali jitahidi kufanya mazoezi,kunywa maji mengi,punguza pombe,nyoa ndevu,punguza nywele ziwe fupi au nusu upara,vaa nguo zinazoendana na mwili wako,tembea na wa rika lako na mengine utaongeza.
 
Sumu Boy

Senior Member
Feb 16, 2017
190
250
Inaonekana umejiachia sana hadi mwili kuporomoka na kuonekana una miaka mingi,kuzuia hiyo hali jitahidi kufanya mazoezi,kunywa maji mengi,punguza pombe,nyoa ndevu,punguza nywele ziwe fupi au nusu upara,vaa nguo zinazoendana na mwili wako,tembea na wa rika lako na mengine utaongeza.
Inaonekana ni mwanasaikoloji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,040
2,000
Inaonekana umejiachia sana hadi mwili kuporomoka na kuonekana una miaka mingi,kuzuia hiyo hali jitahidi kufanya mazoezi,kunywa maji mengi,punguza pombe,nyoa ndevu,punguza nywele ziwe fupi au nusu upara,vaa nguo zinazoendana na mwili wako,tembea na wa rika lako na mengine utaongeza.
Mkuu yani nipo kawaida tu sawa bia nakunywaga sana ila sielewi inakuaje watu waniamkie wakati mi nikijiangalia najiona nipo kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
Waungwana wa humu nawasalimu sana

Tangu nirudi kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka 2018 nimekutana na hali ya kuamkiwa sana na watu mabinti kwa wakaka

Kisura mi ni HB haswa nna ndevu kiasi zenye mvi kwa mbali kama zile za Mbowe alipotoka Jela kipindi kile

Mustachi Mdogo Mdogo na vindevu kiasi chini ya lips kama vile vya Ramsey Nouh wa Nollywood

Sasa tangu nirudi tena huku kanda ya ziwa hasa maeneo ninayokaa kaa sana nimekua naamkiwa sana na watu,wengine nikiwaangalia naona wamenizidi umri ila wana niamkia,kuanzia ofisini,mitaani,kwenye vyombo vya usafiri ,bar na sehemu nyingine ninazokuwepo watu wamekua wakinipa sana shikamoo

Sasa najiuliza je sura yangu ya kizee au wananionaje hadi wanipe sana shikamoo!?

Mabinti nao hawapo nyuma kuniamkia sasa sijui wanataka kuninyima nini!??

Wale wakongwe waniambia kuamkiwa sana ishara ya nini? Kiumri nina 32 years tu lakini daaa shikamoo nazopewa utadhani mbabu wa miaka 70

Nini chanzo za hizi shikamoo jamaniii??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni kinyume, vitoto vya under18 vinaniambia mambo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom