Kipi hasa kinawafanya mtunge nyuzi za uongo ili mpate sifa kwa mademu

Kuwafuatilia hao watu na kuwafungulia nyuzi ni kupoteza muda,they know what they're doing....Achana nao
 
Mbona mmekaa kimya? NAFUATILIA SANA POSTS ZENU ZENYE CHUKI NA WENGINE WIVU. Just know kwamba for someone kama mimi ambaye sikuwa na kitu kabisa, na nimefanikiwa as I have, NAELEWA SANA MAANA YA KUDHARAULIWA, and I have always used it kuweka moto zaidi ndani yangu. Hivyo endeleeni kabisa sababu chuki zenu zinachofanya ni kunipa motisha wa kuendelea kufanikiwa, na hata hilo lililonishinda la NDOA, Mungu atatenda tu. Na wanadamu wote watashangaa.
 
Ukiwafuatilia watoto utapata shida, wengine humu ndo kwanza wanapevuka. Ukikuta post za kindezi achana nazo, kuna watu wanahitaji mawazo yetu humu.

Barafu la moto
 
Ukiwafuatilia watoto utapata shida, wengine humu ndo kwanza wanapevuka. Ukikuta post za kindezi achana nazo, kuna watu wanahitaji mawazo yetu humu.

Barafu la moto
Wengine sio watoto kaka. Ni watu wazima kabisa. Maybe wamekata tamaa ya maisha. Hawajui cha kufanya sio kudharau wengine. Bali kushikamana pamoja kama ndugu. Ndio maana Africa ni maskini sana. Sababu watu wanapenda to put each other's down. Badala ya kupeana nguvu na kushikamana, na kusaidiana HATA KWA MAWAZO TU. Lakini mtu anafikiri kuwa na madharau ndio itafanyaje sijui. Mimi wala sipati shida kaka, as I said watu kama hawa wananipa motisha and I just feel bad for them.
 
Back
Top Bottom