Vipi hajat?.Duuh.
Ukiomba zawadi nakuambia useme unayotaka, ukitaka iwe sapraiz utasubiri sanaaMmmh. Hebu tununulieni zawadi bana.
Ila mjiridhishe kwanza nini tunapenda.
Ndio ni nzuri lkn nyie hamnaga shukrani,Hahahaaa. Unaogopa ya kwenye hiyo video lol.
Ila usisahau suprise ni nzuri ujue.
Hakuna cha zawadi n show tuuMmmh. Hebu tununulieni zawadi bana.
Ila mjiridhishe kwanza nini tunapenda.
Ni nzuri kwenye movie tuuHahahaaa. Unaogopa ya kwenye hiyo video lol.
Ila usisahau suprise ni nzuri ujue.
Huyo Dada atakuwa anahitaji gegedo au proposal ya marriageAcha tu aiseee. Nimeshindwa kumuelewa huyo Dada aisee.
Hata kama.. angetakiwa atambue jitihada za mpenzi wake basi. Hiyo inampa hata moyo wa kuendelea. Co kidomo juu juu unadhan huyo bwana atapata moyo wa kununua tena?Amesema hicho sio anachokitaka. Nadhani kipo anachokitaka. Na hilo ndio kosa kubwa la mwanaume kutokujua mwenza anataka nini na kudhani kwamba pesa na zawadi za thamani kubwa vitamfanya akupende zaidi.
Kama unadhani good sex itamfanya demu wako atulie think again bro....Kama humtafuni demu/mkeo kwa kiwango kinachostahiri,mambo ya hivi lazima yatokee..
Mm ningekuwa mchiz ... hapo ndio mwisho wa mahusiano. Kuna wenzake wengi wangeshukuru na kufurahi lakin yeye anaelta nyodo.[emoji3][emoji3][emoji3] kwa kilichotokea lazima baada ya pale jamaa ajiongeze aiseee.
Wanawake wengine wanakatisha tamaa machiz masela. Wanawakatisha tamaa kabisa yaan.. unajua mwanaume kujipinda mpaka unanunua gar c mchezo..Daaah. Jamaani.
Ila ndio mjifunzage jamaani kujua nini tunapenda kwa kweli maana waeza kuta anataka PASSO.
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️