Wana jf, mm ni kijana niliekatika mahusiano ya kimapenzi na bint mmoja, ambae bint huyu kiukweli japo nmemkuta akiwa na mtoto nmetokea kumpenda sana hadi kufikia maamuzi ya kutaka kuishi nae kama mke na kwa kiasi kikubwa ni kama namsaidia kumlelea mwanae kwa kumsaidia kila kitu,lkn changamoto ninayokutana nayo ni kua mama ake mzazi anamwambia bint kua hawezi olewa na mwanaume mwingne zaid ya aliezaa nae, jambo hili linaniumiza sana kwasababu ni mwanamke ambae toka nmfaham hakika sitaman kumuacha kabisa..naombeni ushauri na mawazo yenu wanajamvi.