Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,
Uzi wenyewe ni huu[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30885089
Nilikuwa nalalamika tu kwamba mpenzi wangu huyu aliniomba kiasi flani cha pesa kwa kuwa nilikuwa naumwa kama siku tatu sikutoka kwenda mishe nilimuomba anivumilie ile siku nilikuwa na nafuu kesho yake nitoke niende mishe Mola akijalia nitamtumia,
Ofcourse alinijibu vibaya kitu kama vile Sitaki kumtumia na wakati siku zote akiwa na Shida natatua kuanzia kula yake mpaka vaa yake lakini alishindwa kunielewa tu ile kosa ya siku moja,
Tuliacha kuchati mala pale tu niliposema sina hela na yeye kuona as if ninazo ila namnyima,usiku nilimtakia usiku mwema lakini hakunijibu,
Sasa Leo ni siku ya Tatu sijaona Call yake wala Sms ya salamu,
Na mimi nilivyoona hakuna jibu kwa ile SMS yangu ya Usiku mwema, nikaamua kukaa kimya till leo lakini inanishangaza sana,
Nimemtambulisha kila sehemu kuanzia kwa mama, baba mpaka ndugu zangu wa pembeni lakini she is no more now,
Hii hali inanifanya nianze kumchukia.
CC Zero IQ