STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Habari wakuu,
Watu wengi wamekuwa wakiwalaumu vijana ambao wamefikia umri fulani lakini bado wanaendelea kuishi kwao au kutegemea wazazi wao,
lakini chaajabu kila mmoja anatoa muono wake juu ya umri sahihi wa kijana kuanza kujitegemea,
Hebu tupeane Experience za Maisha, Unadhani ni wakati gani sahihi kijana aanze kujitegemea na njia zipi za awali za kufuatwa?.
Na kwamsaada wa wengine ni vema ukasema
WEWE UMEANZA KUJITEGEMEA RASMI UKIWA NA UMRI GANI NA CHANGAMOTO GANI ULIZOPITIA MPAKA HAPO ULIPO?
Karibuni.