Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

When you have just met, love taste like sweet orange. You cannot get enough of it. After some time You cannot stand each other’s sight any more but you sre committed to each other. Your...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..! [emoji117] Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. [emoji117] Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. [emoji117] Mwili wako sio dampo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae...
18 Reactions
181 Replies
21K Views
dah nipo nacheki movie ake ya SECOND ACT ' dah aseeeeeee anaonekana kabintiiiie kananifanya nidindisheeee hahahahahahah pesaaaaaa
1 Reactions
1 Replies
721 Views
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi na virusi vya ukimwi natafuta msichana mwenye hali kama yangu awe mke wangu dini awe mkiristo,umri usizidi 25. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna Rfiki yangu wa karibu sana zile dizaini za kutafutana kila jioni ,mimi ni mtu ambae naweza kukuambia sasa natoka na nani na kikweli moyo wake uko wapi ,hata mke wake first time anamutongoza...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Haya ni majaribu kweli kweli. Haka kadogo naona kanataka kunipeleka segerea na nikikumbuka jamaa wa bukoba yule mwalimu kapewa miaka 60 ya kutosha. Haka kamwanafunzi ni jirani yangu kama mita 300...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Watu wengi wanasifia wamama wa kichaga ni wapambanaji .ni kweli sikatai .ila wamama wa kihaya kwangu Mimi ndo top. Kwa utafiti wangu ,wengi niliokaa nao.japo hawana kazi Wala biashara nadhani...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Wahenga walisema dunia ina mengi na wengine walisema dunia imevaa koti. Watu wawili ambao ni baba na mwanaye wameoa mabinti mapacha wilayani Kisarawe Pwani. Inadaiwa baba alilazimishwa kuoa akiwa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Hapa ndipo naona kuwa wanawake wanaenda sawa na manyanyaso ya wanaume Hili NI kisa cha pili ya kwanza mwanamke alitoa figo Kwa mumewe lkn mumewe akamtalaka akaenda kwa dogodogo SHikamoo...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
JINSI BABA YANGU MDOGO ALIVYONIGEUZA KUA SHOGA Nakumbuka nilikua darasa la tatu wakati Baba yangu mdogo alipokuja kuishi na sisi, alikua anasoma kidato cha tano baada ya kufaulu huko kijijini...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Nimekuwa namjua Kama kidada Cha mjini tu ,mara skendo Mara hivi lakini na muda Sasa toka awe mkuu wa wilaya ,naona anabehave kiasi ameuchoma moyo wangu Kama mshumaa. Tizama mavazi yake ,uje...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
mi mgeni humu,nimejisajil leo napenda marafiki wa kubadilishana nao mawazo mbali mbali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna swali hapo juu linahitaji majibu naomba unijib kutokana na mtazamo wako.mimi kwangu maana kubwa ya maisha Ni kuujua ukweli ili niwe huru na Kisha niwe na amani ya moyo(inner peace) na baadae...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke mrembo aliye na tabia nzuri.Asiwe na tattoo,awe amesoma angalau mpaka form 4 na kuendelea.Awe na umri kuanzia 22-25.kwa aliye tayari ani pm! Dua zenu wadau maana hii shughuli sio...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hakika usaliti katika mapenzi ni jambo linaloumiza mno, linaacha majeraha makubwa mno ndani ya mioyo ya watu. Na hakuna kinachouma kama kutendwa. Na lina athari kubwa saana katika mahusiano ya...
0 Reactions
5 Replies
874 Views
sehemu gani ya PAPUCHI mwanamke inaweza kumpa raha hadi usingizi wa fofofo ukampitia? Ni nje au huko ndani interior ambako sisi vibamia hatuwezi kufika kwa namna yoyote ile.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za siku nyingi wana MMU, niende moja kwa moja kwenye ndoto mada yangu Jana wakati nikitafakari ushindi wa taifa stars ni wahalali au magumashi nikapitiwa na usingizi mzitoo kweli...
4 Reactions
84 Replies
5K Views
Wadau, tulikua tunabishana na mdau mmoja hapa kuhusu mikoa inayoongoza kwa matukio ya ubakaji kwa wanawake Tanzania, mmdau mmoja amesisitiza Kuwa unaoongoza ni Mara, mwingine anasema Mbeya.. je...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…