Birionea Bee
Member
- Jan 19, 2019
- 63
- 120
DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..!
[emoji117] Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone.
[emoji117] Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee.
[emoji117] Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume.
[emoji117] Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie.
[emoji117] Mwili wako sio kiburudisho, kila mwanaume Ajiridhishe.
[emoji117] Mwili wako sio pazia la Sebuleni, kila mwanaume Akufunue.
[emoji117] Mwili wako sio karanga za kutembezwa mtaani kila mwanaume
Akuonje Utamu wako.
******************************************************
[emoji843] Mwili wako ni wa Thamani sana. Mwili wako ndio utu wako.
[emoji843] Ebu Tunza Mwili wako nao Ukutunze. Uheshimu Mwili wako nao Utakuheshimisha.
[emoji843] Si kila mtu wa kuushika Mwili wako. Usitumie Mwili wako kama kitega uchumi, Usitumie Mwili wako kama dhamana ya kupata vile unavyohitaji.
[emoji843] Usitumie Mwili wako kama Njia ya kupata Mume Atakayekuoa. Kama Mungu amepanga Uolewe utaolewa tu
dada yangu hata bila ya kufunua Sketi yako. Muamini Mungu Yeye ndiye aliyeshikilia maisha yako.
[emoji843] Kuna mtu mmoja tu anayestahili kuugusa Mwili wako, kuuona Mwili wako, kuujua Uzuri wako.. Msubiri, Usiwe na Haraka, Mungu atamleta kwako. Endelea Kusubiri.
[emoji843] JITUNZE, JITHAMINI, JIKUBALI NA JIAMINI..!
Birionea Bee
we thought GOD AM NUTHINFJamii Forums mobile app