Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari! Naomba mnisaidie majibu, hivi kwanini wanawake wa sasa hivi wanaumwa sana migongo, mkiwa kwenye mahusiano utasikia naomba unifanyie massage ya mgongo mara unauma sana na utafiti huu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
"Baby ndio nakuja nishukie wapi??"_??Masela tujuzane huwa unakuwa katika hali gani baada ya kupata sms hii kutoka kwa demu...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Ndoa ni jambo zuri tena la heri,lkn changamoto zake ni chungu kuliko raha yenyewe! Kwangu Mimi nikizaa watoto watatu na mwanamke mmoja ama hata wawili ama watatu tofauti inatosha!ili mradi nipate...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Mnaonaje katoto kazuri kugombea ubunge viti maalum kwanza naweza kuongea na busara na hekima na pia najitambua pia nyie mnalionaje hili 2025 nikagombea?? Tiketi ya CCM? Sent using Jamii Forums...
4 Reactions
78 Replies
6K Views
Hii inatia hasira na inaudhi sana Unakuta mtu analialia eti kuachwa eti kutendwa. Mwanaume mzima unalialia humu kwa sababu ya Mapenzi Wanaume kuanzia leo ni marufuku kulialia kwa sababu ya hivyo...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Hello guys, Nimekuwa nikijiuliza lengo la hawa wadada kutuonesha makalio yao ni nini hasa, maana insta kumechafuka karibia kila mdada anaejipiga picha anaonesha, anabinua, au anatingisha...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Wako mtiifu.. Tairus.. However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za siku wakuu Kuna uzi humu niliuleta tarehe 7 August, 2015, pitia hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/902628/ Sasa nimekuta watu wengi wanacomment na wanaomba mrejesho...
3 Reactions
152 Replies
13K Views
Nilikuwa nasoma gazeti moja la kuwait linaitwa Rai....nimekuta news moja inasema kama kichwa cha habari kweye thread hii. Sababu ya bwana harusi kumzabua kibao mke wake huyo mpya wakati wa harusi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Jana weeken kama kawa nilizama chocho flan nikawa nashusha bia zangu tu kuanzia mapema kabsa mida ya mechi ya simba Mida ya saa mbili kuna mdada alikuja kukaa pembeni yetu akawa kama ananitazama...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
siku hizi kumekua na tatizo la wanawake kuwa na K mpanuko sana, sasa swali langu ni kua ile ni aina tu za K au ikitumika sana ndio inakua vile? na vipi wanawake hua mnajisikiaje unapokua na K...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Zero mpaka leo sijawahi kupima ngwesi(UKIMWI),siyo kwamba sitaki kwenda kupima la hasha!, je nikipima nitakuwa happy kama leo,nitakuwa huru kujumuika na jamii yangu pale ikitokea nimeukwaa au kila...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
NDOTO Usiku wa kuamkia leo bwana nimeota hivi. Nilikuwa natafuta BIG G, Kisha nikaitema na kuitupa. TAFSIRI Leo asubuhi nimeamka zangu, mpenzi wangu mmoja akanikorofisha nikampiga CHINI...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kutenda tendo kwa mara ya kwanza na boyfriend wako kwanini unaumia asipokucheck siku inayofata
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kuchapiwa demu inauma mke je? Maumivu ake vipi hapo? Wengi humu JF tunachukulia easy tu coz wengi humu hatujaoa hatukutani nayo, wanayokutana nayo wanajua uchungu. Je, ni adhabu gani...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau eti ukitafutiwa mtu nisahihi? Labda wewe ni msichana mtu akadecide kukutafutia mupenzi hii inakuwaje hali hii imeshakutokea?? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla. Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke Mnapokuwa kwenye...
2 Reactions
172 Replies
20K Views
Habari zenu jukwaani. Nimempata mpenzi mpya siku za karibuni na ni mtundu kitandani ile mbaya. Tulipoanza mapenzi mwezi wa tisa mwaka huu, mambo yalikuwa mazuri tu. Ila siku zinavyosonga tukiwa...
3 Reactions
121 Replies
19K Views
MIMI : Baba nifundishe kuhusu wana wake BABA : nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake !?. Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakuwa kiasi cha kuhitaji elimu...
24 Reactions
158 Replies
12K Views
Back
Top Bottom