Ni marufuku Mwanaume kulialia humu

Addict

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
702
485
Hii inatia hasira na inaudhi sana
Unakuta mtu analialia eti kuachwa eti kutendwa. Mwanaume mzima unalialia humu kwa sababu ya Mapenzi
Wanaume kuanzia leo ni marufuku kulialia kwa sababu ya hivyo vidude

Waachieni mabinti watu wa emotions.Mwanaume unapaswa kuface reality.Sio mtu unakuja hapa kuomba ushauri kwa kina miss chagga sasa na wewe itabidi tukuvishe sketi

Hata wanaume wa dar hawatakiwi kulialia.
Hili suala naendelea kulifanyia utafiti.kuna wasiwasi mkubwa sana hawa wanaolialia ni vijana ambao hawatakiwi darisalama.
 
Wanaojilizaga Watakuwa ni wavulana wadogo Sidhani Mwanaume aliyekamilika anaweza kujiliza humu
 
Hope nyote mlio comment huko juu mmeolewa na kuoa.time will tell.hamjui maumivu ya mapenzi.mie zangu dua tuu.
 
Back
Top Bottom