Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

yani hazipiti siku mbili basi utaona uzi ukiwacharua wanaume na hata hapachukui mda utaona uzi ungine ukiwacharua wanawake mara ooh hakuna mwanaume Tanzania mara ooh jamani tukaoe ulaya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Umri unasogea unaamua kutafuta binti wa kuchumbia ili umuoe.Wakati ukitafuta mchumba kwa umakini Wachumba uliokutana nao wako hivi 1=Wa kwanza umekutana nae ukamposa akaonyesha kukubali haraka...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
LIPOISHIA Baada ya dakika kama kumi hivi mimi nikiwa bado chini nimelala kwenye kapeti, mchawi yule nilimsikia akikoroma. Nilishangaa sana mchawi kuja kwenye chumba cha watu na kuanza kukoroma...
0 Reactions
18 Replies
22K Views
Iikuwa asubuhi ya Tarehe 13/04/2017. Nilikuwa kwenye meeting hivyo simu yangu ilikuwa off, saa nne asubuhi tukawa tumemaliza meeting nikawasha simu! Simu ya kwanza kuipokea ilisema "Kama...
20 Reactions
80 Replies
8K Views
HII ni kwa jinsia yeyote hasa jinsia ya kiume. Takwimu zinaonesha msichana au mwanamke unayempenda kwa dhati toka moyoni unaweza jitolea kwa jambo lolote hasa katika suala zima za kuhonga kama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nianze na kuwauliza swali, Hivi mwanaume anapo jitahid hadi anaanzisha conversation na wew huwa mnatuwazia nn hadi mnakua hamuwezi kuonesha respond??? Kengine utakuta hadi mnafanya kazi sehemu...
4 Reactions
83 Replies
9K Views
Waungwana nawasalimu sana Ni miezi miwili imetimia tangu nikutane na huyu binti Kiumri bado ni mdogo ana miaka 18 ,huyu binti baada ya kumtongoza kanikubalia tukaanza mahusiano rasmi Siku ya...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Dada zangu kama hujui siku zako yaani huwezi kuhesabu vizuri hakikisha unatumia kinga, huyo mwanaume hatakuoa, iko hivi kama mwanaume hajakuoa si mume wako, ukibeba mimba yake basi jua kuwa wewe...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Mzazi yeyote mwema hupenda watoto wake wasiingie kwenye matatizo, wafanye vizuri masomoni na kufanya kazi za maana utu uzimani. Kwakuwa hakuna muongozo maalumu wa kukuza watoto wenye mafanikio...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana jamvi ningependa kujua ,maana moyo wangu umeingiwa na hofu kubwa baada ya kusoma humu JamiiForums kuwa jamaa kamchapa risasi za kutosha mpenzi wake baada ya kumsomesha halafu akaja kuzingua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yaani huwa nikiona post sake moyo hunilipuka kwa shauku. Nikiona replies zake ndo usiseme,yaani mwili wanisisimuka kwa furaha. Hata akipost pumba huwa ntaenjoy,nampenda sana tena sana💓💓💓💓. Kwa...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Nasema hivi wewe future wife uliposomeshwa na baba yako usijeukataratijia hata siku moja nitakulipia kitu chochote kinachoitwa ada! Waliosomesha na wakapigwa chini njooni mlete mrejesho Sent by...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Kuna kajitabia rafiki yangu analalamika kuhusu demu wake, anasema demu wake anawaogopa sana wafanyakazi wenzake na anawachukulia umuhimu sana kushinda hata mchumba wake. Anasema anaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UWE UMEACHA MAMBO YA UVULANA. 🔹Ndoa ni kwa ajili ya watu waliokuwa na utimamu wa akili, hivyo hakikisha umeshaacha mambo ya kitoto /uvulana na umekuwa kiasi cha kustahiri kuitwa Kichwa cha...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
MADEMU WA MITANDAONI. 1. Ukimwambia mambo anaitikia kwa herufi *p* na *k* 2. Ukimuomba picha anakwambia *"wew mbona hujantumia"*[emoji23] 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu, Naam karibuni katika somo hili adimu kabisa sababu ni somo lenye faida kubwa sana kwa wale wenye kupenda kujifunza baadhi ya mambo leo tutaangalia namna ya...
5 Reactions
41 Replies
126K Views
Wadau mlikutana wapi na mpenzi wako kwa mara ya kwanza akakuvutia kipi tofauti hadi ukakubali kumuoa/kuolewa naye? Sent using Jamii Forums mobile app Kama haupo serious usicomment
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kusema ukweli raha ya tendo mwenzio akojoe, kwa uzoefu wangu wanawake tunawakojoza ndio lakn wengi pia wanafake, hii ni kufuatana na kwamba wao tu ndio shida mana unakuta mtu ana mambo mengi sana...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nilimaliza nae darasa la saba bunge primary Dec 2006 Ni mweupe na ana komwe kiasi. Kama kuna yoyote anamfahamu.. Kuna 150,000 apa cash. However you may not start conversation with the...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom