Je umewahi dumu na mpenzi uliyetafutiwa ?

Je umewahi dumu na mpenzi uliyetafutiwa ?

Ila kuna watu wanapata taabu mpaka unatamani kuwaunganisha nà mtu unayejua kuwa anaweza kuwa sahihi kwake ila unakausha tuu.

I have met some good women to be married na mimi sijajiandaa kuoa for now.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nimewahi kutafutiwa demu enzi hizo... Duh siku tunaonana aisee sijampenda Wala nn.. lakini yeye alinipenda jins nilivyo wakati huo Sina kasumba.

Lakini kwakuwa nilikuwa na ukame, nikachapa nikaenda.

Bado ananipenda Hadi kesho japo kaolewa ± watoto 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom