mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
NDOTO
Usiku wa kuamkia leo bwana nimeota hivi.
Nilikuwa natafuta BIG G, Kisha nikaitema na kuitupa.
TAFSIRI
Leo asubuhi nimeamka zangu, mpenzi wangu mmoja akanikorofisha nikampiga CHINI.
MAZINGATIO
Kulingana na elimu niliyojaaliwa ya kutafsiri ndogo, huenda siku zijazo nikawa Kama MAREHEMU: SHEIKH YAHYA HUSEIN
ASANTENI.
by: Mzee wa Kasumba
Sent using Jamii Forums mobile app