Habari za siku wakuu
Kuna uzi humu niliuleta tarehe 7 August, 2015, pitia hapa
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/902628/
Sasa nimekuta watu wengi wanacomment na wanaomba mrejesho...
Nilikuwa nasoma gazeti moja la kuwait linaitwa Rai....nimekuta news moja inasema kama kichwa cha habari kweye thread hii.
Sababu ya bwana harusi kumzabua kibao mke wake huyo mpya wakati wa harusi...
Jana weeken kama kawa nilizama chocho flan nikawa nashusha bia zangu tu kuanzia mapema kabsa mida ya mechi ya simba
Mida ya saa mbili kuna mdada alikuja kukaa pembeni yetu akawa kama ananitazama...
siku hizi kumekua na tatizo la wanawake kuwa na K mpanuko sana, sasa swali langu ni kua ile ni aina tu za K au ikitumika sana ndio inakua vile? na vipi wanawake hua mnajisikiaje unapokua na K...
Zero mpaka leo sijawahi kupima ngwesi(UKIMWI),siyo kwamba sitaki kwenda kupima la hasha!, je nikipima nitakuwa happy kama leo,nitakuwa huru kujumuika na jamii yangu pale ikitokea nimeukwaa au kila...
NDOTO
Usiku wa kuamkia leo bwana nimeota hivi.
Nilikuwa natafuta BIG G, Kisha nikaitema na kuitupa.
TAFSIRI
Leo asubuhi nimeamka zangu, mpenzi wangu mmoja akanikorofisha nikampiga CHINI...
Kama kuchapiwa demu inauma mke je? Maumivu ake vipi hapo?
Wengi humu JF tunachukulia easy tu coz wengi humu hatujaoa hatukutani nayo, wanayokutana nayo wanajua uchungu.
Je, ni adhabu gani...
Wadau eti ukitafutiwa mtu nisahihi?
Labda wewe ni msichana mtu akadecide kukutafutia mupenzi hii inakuwaje hali hii imeshakutokea??
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla.
Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke
Mnapokuwa kwenye...
Habari zenu jukwaani.
Nimempata mpenzi mpya siku za karibuni na ni mtundu kitandani ile mbaya.
Tulipoanza mapenzi mwezi wa tisa mwaka huu, mambo yalikuwa mazuri tu. Ila siku zinavyosonga tukiwa...
MIMI : Baba nifundishe kuhusu wana wake
BABA : nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake !?. Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakuwa kiasi cha kuhitaji elimu...
Natumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..
Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia...
Kwema wadau hope mko poa
Kesho ni jumapili ni siku ya kutafakari mambo mengi ya kiroho na kuungama na kua watakatifu, hivyo basi wewe kaka na wewe dada mliopanga kujigijigi/ kuto...na baada ya...
Natumai wazima wote.
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.