dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,072
Jana weeken kama kawa nilizama chocho flan nikawa nashusha bia zangu tu kuanzia mapema kabsa mida ya mechi ya simba
Mida ya saa mbili kuna mdada alikuja kukaa pembeni yetu akawa kama ananitazama sana but nikapotezea
ilivyofika kama mida ya saa sita kuna mwana nilikuwa simjui akaja kunisalimia kama ananijua kwa aibu ikabd niitikie kama na mm namjua tu
baadae akarudi tena kunifata akanionesha yule dem anaeniangalia akaanza kumsifia kwamba noma sana kitandani hapo mm nawaza nimkamjunje wife nikisepa so nikawa namsapoti tu asepe
baadae akarudi tena nimpe 20k aniunganishe na yule dem nikamchana hapana mzee
Baadae mwana wa pembeni yangu ndo akanitonya kwamba jamaa ndo agent wake yule malaya
Nikabak nashangaa hadi malaya wana Ma agent tena wa kiume
Sent using Jamii Forums mobile app