I wish kuwa na Watatu kwa mfumo huu!

I wish kuwa na Watatu kwa mfumo huu!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ndoa ni jambo zuri tena la heri,lkn changamoto zake ni chungu kuliko raha yenyewe!
Kwangu Mimi nikizaa watoto watatu na mwanamke mmoja ama hata wawili ama watatu tofauti inatosha!ili mradi nipate wale wanawake wanaopenda kususia baba zao watoto I don't care!
Jambo ambalo sitaki maishani mwangu ni kukubali kulelewa mtoto wangu na mwanaume mwingine hata kwa viboko

Sent by Diaspora
 
Naona tunafanan mawazo mkuu

Mungu atujaalie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom