Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla.
Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke
Mnapokuwa kwenye michakato yenu ya kutaka kumpata mdada unayempenda au ungependa ndo awe wife au mahabuba wako mnapenda ukubaliwe katika namna ipi?Mnapendaje?mnapenda mumpate mdada mara moja tu na ummiliki au umsumbukie kidogo akuletee vipozi au mnataka ile ya seven days ya Craig David yaani ndani ya siku saba tokea uanze mchakato wa kumtia mikononi mwako unakuwa ushamaliza kila kitu?
Na ninyi akina dada tunaombeni uzoefu wenu kaitika hili waume zenu au wapenzi wenu waliwapataje na waliwaambia nini baada ya kuwapata waliwasumbukia au hawakutegema kuwa wangewapata je walifurahishwa na hilo au walitamani msiwe wagumu?
Karibuni tujadili kwa pamoja