boda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 351
- 298
Habari! Naomba mnisaidie majibu, hivi kwanini wanawake wa sasa hivi wanaumwa sana migongo, mkiwa kwenye mahusiano utasikia naomba unifanyie massage ya mgongo mara unauma sana na utafiti huu nimefanya kwa wanawake wanne ambao nimekutana nao na tulikuwa kwenye mahusiano kwa kuda wa miezi miwili mpaka mitatu. Hivi nini tatizo?