Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii ni kauli mbiu ya azam tv sports katika kuipromote ligi yetu ya mpira wa miguu Tanzania. Hii kauli mbiu kama vle inaakisi yaliyomo kwenye ligi yetu kutokana na ubovu wa ratiba n.k Nafikili ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau leo ni kula kuku kwa sana na bia . Msisahau kupima, ukishindwa Condom zipo. Msisahau kabisa baadae mnakuja wadau nawashwa busha zimevimba au nimejikuta nimeparamia mdada mzuri nikasahau...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. Maumbile Viungo vya uzazi...
12 Reactions
104 Replies
126K Views
Daah tumeelewana vzr nimpe mtonyo akasuke apendeze then aje geto tugegedane saizi eti namba unayopiga haipatikani kwasasa jaman ina uma kweli.
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nasema hivi kwakuwa hawa viumbe wanaona mtu mwenye akili na maarifa ni yule anaeleta mtongozo kwa maneno ya uongo. Nilishawahi kufanya uchunguzi kwa wadada wawili kwa kuwatongoza na kuwaambia...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Baba ambaye alizaa mtoto nje ya ndoa,hatimaye akaamua kumchukua mtoto wake na kumuunganisha na familia yake,baada miaka kadhaa tena inatokea sintofahamu kati ya wazazi wenza mahusiano...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Wanajamvi mi suala la kutongozwa na wanawake kwangu limenifanya sasa nisijue kutongoza maana wamekuwa wanakuja tu, na baadhi hawasemi moja kwa moja wanatumia ishara tu, nagundua ila nawakwepa...
4 Reactions
134 Replies
14K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka flani hivi sio mbali sana na mwaka huu ni mwaka mmoja baada ya mwaka 2019 niliopoa chombo moja matata, Chura ya kuuzia biriani mazaga mazaga kama yote zero nilivyoambiwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
0 Reactions
366 Replies
90K Views
Huu mchezo kwa nini unazidi kupata umaarufu.....hii Dunia laaanakhum.... Huyu dada ni mke wa mtu anafanya kazi na mumewe sehemu moja. Ila analiwa biriani... Hili jambo lilinisikitisha sababu ni...
2 Reactions
70 Replies
13K Views
Picha linaanza. Miezi mitatu sasa niko kwenye mahusiano na SINGLE MOTHER MMOJA HV, ana mtoto mmoja. Wiki mbili zilizopita, kumbe alitembelewa na huyo bwana aliyezaa nae, yule bwana akafanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi? Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Wakuu hali ya leo inashawishi sana, nimeona nijifungie ndani kabisa maana najua nikitoka nita enenda tofauti na hii sikukuu takatifu.
3 Reactions
104 Replies
6K Views
Nahitaji mwanamke atakayekuwa tayari kuzaa mtoto/watoto Nimeoa, akitaka kuwa mke wa pili haina shida. Au anaweza kuamua kuwa free, mtoto nitampa huduma na Upendo wa baba Kama inavyotakiwa. Huduma...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Happy Easter all members jf yote Kwenye haya mahusiano yetu Kuna mambo ukiyaona unajua kabsa Hapa umeshalimwa read cad inabak Tu ww kujitoa uwanjan Zang n hiz 1: msej kusomwa Na kutojibiwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni ukweli usiopingika kabisaaa japo wengi humu mtapingaa. Kwanini nasema hivi mwanaume ukipenda hata demu awe mbaya kias gani wewe utamwona mzuri na huna habr. Muda wote unakuwa unamwaza...
0 Reactions
227 Replies
19K Views
Amani iwe kwenu wana wa MMU. Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu. Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo...
9 Reactions
160 Replies
10K Views
Natafuta marafiki sehemu yoyote Tanzania me naishi kagera wilaya ya biharamulo haijalishi we wakike au was kiume kwa mawasiliano tigo 0710535990 Airtel 0692536353 karbu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu huyu dada nilimfata but sikuhitaji uhusiano wa muda mrefu hata miez miwili. Ila sasa ni wiki tatu tu nishaanza kuwekwa status, na mambo kibao. Kifupi sina malengo nae ata ya wenzi mmoja...
6 Reactions
90 Replies
8K Views
Back
Top Bottom