BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,019
Wakuu hali ya leo inashawishi sana, nimeona nijifungie ndani kabisa maana najua nikitoka nita enenda tofauti na hii sikukuu takatifu.
Oohhh! Aahsante kwa dawa mkuu! Side effects zake ni zipi ?Pata kombe la kahawa/tangawizi kali ushawishi utaisha
Kwan na wewe umeshawishika?Inashawishi sio kidogo aseee!
Shetani ashindwe!
Ndo maana nimejilalia ndani kwa kweli!Inashawishi sio kidogo aseee!
Shetani ashindwe!
Kwan na wewe umeshawishika?
Ndo maana nimejilalia ndani kwa kweli!
Embu ngoja nije nkupe msaada wa maombi tumkemee pepo la ushawish.Naona kama nashawishika hapa
Kama unakuja ni bora tusimkemeeEmbu ngoja nije nkupe msaada wa maombi tumkemee pepo la ushawish.
Kama unakuja ni bora tusimkemee
Uje umtoe tu manake kashaingia
Ashindwe kwelikweli nimeugua mwenyewe mpaka nahisi kupona ile shida yetu ya duniaInashawishi sio kidogo aseee!
Shetani ashindwe!
Kwahiyo kama haupo dar ....mbona hata Mimi sipo dar but niliko hali ya hewa imenishawishiInashawishi nini toa maelezo yakutosha wengine hatupo dar
Haahhahahaahahahahahahah [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kama unakuja ni bora tusimkemee
Uje umtoe tu manake kashaingia
Na lazima nizimieDaah kumbe kashaingia acha nije nmtoe nna uhakika lazma kunena kwa lugha kuwepo ili atoke kikamilifu
Na lazima nizimie
Pole my dearAshindwe kwelikweli nimeugua mwenyewe mpaka nahisi kupona ile shida yetu ya dunia
Hihii shoga hiyo hiyo inayouma kuleeeee kaskazini kusini mashariki homa inayotibiwa na viumbe tofauti na sisiPole my dear
Shida hii hii ama mie sijaelewa?