Ushauri wa haraka unahitajika

Ushauri wa haraka unahitajika

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume wa 2 na wa kike mmoja, tatizo nimekuwa na vutiwa sana na hawa madada poa, kuliko hata mke wangu sijui hata tatizo ni nini, kwa mfano nikipita mitaa ya Villa Park, roho yangu inatamani sana ninunue hawa warembo wa barabarani, isitoshe huwa naenjoy kuliko hata kwa wife, jamani naombeni ushauri wenu kwasababu nimekuwa addicted na hawa viumbe, nifanyeje ili niweze kuacha.?
 
Kwani wana Tatizo?? The Ultimate aim of human life is to be happy..as long as you are happy na Madada poa we watombe Tu..Kumbuka UKIMWI upo[emoji4]
 
Ngoja niandae dose ya ABC/3TC 300mg/300mg na Atazanavir/Ritonavir 300mg/100mg, kwa maandalizi ya kupokea mteja
 
Kwanza kabisa unahuakika kama watoto 3 ni wako ulipima DNA .labda mkeo ndo alikuwa wa kwanza kutamani ma braza du wa nnje waka mjaza
 
Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume wa 2 na wa kike mmoja, tatizo nimekuwa na vutiwa sana na hawa madada poa, kuliko hata mke wangu sijui hata tatizo ni nini, kwa mfano nikipita mitaa ya Villa Park, roho yangu inatamani sana ninunue hawa warembo wa barabarani, isitoshe huwa naenjoy kuliko hata kwa wife, jamani naombeni ushauri wenu kwasababu nimekuwa addicted na hawa viumbe, nifanyeje ili niweze kuacha.?
Unaomba ushauri kwani unalazimishwa kula kwa madada poa mkuu?
 
Mkuu umesoma hii mada kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama yeye anavutiwa Na dada poa, anajuaje kama mkewe pia avutiei Na mitwango ya nnje Adi ikapelekea kubambikwa wa toto , apo Na sisi tunauliza kapima DNA
 
Una nyota ya ngoma. We ushakuw edicted tena utaacha familia.Acha ni maamuzi kama kuacha pombe au feg angalia mkeo akipata mdudu wa kuletewa huendi mbinguni
 
Kivp sinatumia kinga mkuu?
 
Kivp sinatumia kinga mkuu?
Mazoea mabaya Mungu anatabia moja ikiwa ni shida ata mara moja anakuokoa sababu ni ganzi.
Sasa Kama ni mazoea iyo ni tabia kuna siku utanasa jihadhali una wife tulia na familia mkuu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Namsubiri baada ya miezi 3, nianze kazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakutakia usiku mwema...kesho panapo majaliwa.
 
Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume wa 2 na wa kike mmoja, tatizo nimekuwa na vutiwa sana na hawa madada poa, kuliko hata mke wangu sijui hata tatizo ni nini, kwa mfano nikipita mitaa ya Villa Park, roho yangu inatamani sana ninunue hawa warembo wa barabarani, isitoshe huwa naenjoy kuliko hata kwa wife, jamani naombeni ushauri wenu kwasababu nimekuwa addicted na hawa viumbe, nifanyeje ili niweze kuacha.?
mkuu unaonaje mkeo umpeleke nae akajiuze lakini ukawa unamnunua wewe mwenyewe tu?
 
Back
Top Bottom