Hii ni kauli mbiu ya azam tv sports katika kuipromote ligi yetu ya mpira wa miguu Tanzania.
Hii kauli mbiu kama vle inaakisi yaliyomo kwenye ligi yetu kutokana na ubovu wa ratiba n.k
Nafikili ni tanzania pekee ambapo anaeongoza ligi amebakisha michezo 6 kumaliza ligi wakati huo anaemfuatia amecheza mechi 23 sawa na michezo 9 nyuma ya anaeonhoza ligi.
Kutokana na ubovu huo wa ratiba ni wazi kwamba upangaji wa matokeo hauepukiki.