Niko njia panda. Niende wapi? (Ushauri wenu wakuu)

Niko njia panda. Niende wapi? (Ushauri wenu wakuu)

Behind the camera

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
315
Reaction score
757
Picha linaanza.

Miezi mitatu sasa niko kwenye mahusiano na SINGLE MOTHER MMOJA HV, ana mtoto mmoja.

Wiki mbili zilizopita, kumbe alitembelewa na huyo bwana aliyezaa nae, yule bwana akafanya uchunguzi katika simu ya yule manzi akakuta msg zangu mbovu mbovu, yule bwana akaruka namimi kwa hewa. Akataka kujua mimi ni Nani kwa yule mwanamke ? Lakini nikamchana wazi tu kuwa Ni demu wangu.... Na demu alinambia kuwa Hana mume.

Jamaa alitamani kulia na kusema kuwa yule Ni MKE wake wa ndoa kabisa..


Leo
Demu ananambia kuwa jamaa amekuja tu kumharibia na hatak awe na mwanaume mwingine kwasababu wamegombana hivo ana mvurugia mambo yake.


Utoto unanisumbua jaman.

Huyu single mother niwe nae au nimpotezee??
 
Mlishamalizana na yule aliyekuwa anauza chai?

Atakusumbua huyo jamaa tafuta demu mwingine.
 
Kuwa mvumilivu kwa hawa viumbe utakula mbivu
 
Uzinzi kazi,wee fanya vile moyo wako unataka.
 
Pole sana...

Hapo huna chako, na kuna mengi unadanganywa...

Tafakari chukua hatua...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom