Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Happy Easter all members jf yote Kwenye haya mahusiano yetu Kuna mambo ukiyaona unajua kabsa Hapa umeshalimwa read cad inabak Tu ww kujitoa uwanjan Zang n hiz 1: msej kusomwa Na kutojibiwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni ukweli usiopingika kabisaaa japo wengi humu mtapingaa. Kwanini nasema hivi mwanaume ukipenda hata demu awe mbaya kias gani wewe utamwona mzuri na huna habr. Muda wote unakuwa unamwaza...
0 Reactions
227 Replies
19K Views
Amani iwe kwenu wana wa MMU. Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu. Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo...
9 Reactions
160 Replies
10K Views
Natafuta marafiki sehemu yoyote Tanzania me naishi kagera wilaya ya biharamulo haijalishi we wakike au was kiume kwa mawasiliano tigo 0710535990 Airtel 0692536353 karbu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu huyu dada nilimfata but sikuhitaji uhusiano wa muda mrefu hata miez miwili. Ila sasa ni wiki tatu tu nishaanza kuwekwa status, na mambo kibao. Kifupi sina malengo nae ata ya wenzi mmoja...
6 Reactions
90 Replies
8K Views
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM This is serious
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza mi ndo kwaaanza kinda hapa jf ila katika pita pita zangu nikaona watu wanasema kuna jukwaa la wakubwa jukwaa linalohusu yale mamb yetu ya niniliii n.k je ndo hapa hapa au sio.
3 Reactions
43 Replies
11K Views
Natafuta rafiki tutakaeweza badilishana mawazo kuhusu maisha, have fun together and all other stuffs. Age awe 25 na kuendelea. Karibuni PM (kwa walio serious tu).
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi wadau mnawachukuliaje wanawake wanaokuja gheto wakiona sukari, tambi, shati zuri, simu, pafyumu, saa au chochote kizuri wanataka? Kwani mimi nilonunua sina shida? Wadada punguzeni njaa...
8 Reactions
108 Replies
9K Views
Jamani number nilitoa na pichaaa nipoo serous plz nichek tuuu ulie tayarii 0757347649 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanawake wengine wanatafta matatizo wao wenyewe kisha wanakuja kulalamikia wanaume. Mimi binafsi nina kanuni moja, sikatai mwanamke na wala sikatai uchi ili mradi huyo mwanamke anatimiza vigezo...
31 Reactions
135 Replies
13K Views
Tujikumbushe kidogo wakuu kabla ya kuja hizo smatphone zamani kidogo enzi za kanda za tape video za ngono mlikuwa mnaziitaje, Huku kwetu tulikuwa tunaziita PILAU. Na walikuwa wanaonyesha...
4 Reactions
80 Replies
14K Views
Wanasema Hakuna Mapenzi Bila Pesa Hivi Ni Kweli...?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salamu wana JF. Hii mada nimeikuta huko Kenya Taifaleo. Tuisome na kuijadili pamoja hapa Tanzania ina apply pia TABIA zenu baadhi ya akina dada ambao aidha mmeolewa ama mnaishi na wenzenu, huwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jioni. Nimesikia 'madogo' fulani kituo cha mwendokasi wakati wakisubiri basi nami nikisubiri, nkutokana na kuwa karibu nao kieneo niliweza sikia mazungumzo yao. Walikuwa wakijisifu...
6 Reactions
68 Replies
8K Views
Kumekuwapo na matukio yanayobezwa au kukosolewa sana ya wanaume wazee kiumri (japo sio wazee kimwili), kuoa wake wa umri wa chini sana. Mathalani Mzee wa miaka 65 au zaidi anaoa mke wa miaka 25...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
NIPE MOYO WAKO. 1)nahisi nilichelewa,kuwa nawe ewe wangu. Moyo ulipolemewa,uliutoa machungu. Mrembo ulinelewa,tukacheza lingulingu. Basi nipe moyo wako,nami nikupe wa kwangu. 2)tena nifungie...
1 Reactions
1 Replies
26K Views
Je ni 1. Mama yake Mzazi? 2. Bibi yake ama Mzaa Mama au Baba? 3. Shangazi zake? 4. Mama wa Jirani? 5. Mwalimu wa Shule / Matron? 6. Rafiki yake tu? 7. Baba Mzazi? Nawasilisha.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu leo hii Nikakutana na bint mmoja ambaye hapo awali tulikuwa tunakaa jirani lakini ameshahama huu mtaa. Bint yule sikuwa na mazoea naye wala sikuwa na mahusiano naye, ila...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hamjambo waungwana,?naomba kuwasilisha maada. Wakuu kuna jambo linanitatiza kidogo,Niko katika ndoa kwa miaka kumi sasa nikiwa na watoto wawili. Kiufupi Mimi huwa napenda sana kujua afya ya...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom