Nina akili za darasani lakini wanawake wananikataa

Huna hela,
Akili za kitaa, Huna akili za kusaka Mapene

Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta pesa kwanza nambo ya vyeti niumbavu mtupu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?

Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua second upper class 3.7GPA lakini uswahilini madem wananishinda!

Nakosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na pupa wanawake wanahitaji MTU anayejishughulisha na usiwe na majigambo yako ya vyeti na usiseme seme sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom