Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Huu ni ukweli usiopingika kabisaaa japo wengi humu mtapingaa. Kwanini nasema hivi mwanaume ukipenda hata demu awe mbaya kias gani wewe utamwona mzuri na huna habr.
Muda wote unakuwa unamwaza bibie wako kupiga simu muda wote, wivu mwingi na kulialia hovyo bila sababu muda wote unawaza unachapiwa tu.
Kuna wengine wakikosea wanapiga hadi magoti kama mc pilipili kuomba msamaha.huu uzezeta hapana.
NAWASILISHA.