Taja sababu kuu 3 ukiziona kwenye mahusiano yako unajua hapa maji yashazid unga

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,886
13,848
Happy Easter all members jf yote

Kwenye haya mahusiano yetu
Kuna mambo ukiyaona unajua kabsa
Hapa umeshalimwa read cad inabak
Tu ww kujitoa uwanjan

Zang n hiz

1: msej kusomwa Na kutojibiwa zaid ya
Mara mbili
2: sim kutopokelewa Na hata messed call
hakuna replay Na hata akipokelewa zaid ya
Mara mbili unaambiwa Niko buys ntakuchek
Badae kisha ziiiiii.
3: kutoka kuulizwa chochote Na kuwa mkali
Kila umuulizapo kitu.


Na ww toa zako znazokutoa nje ya uwanja
Bila kuambiwa
 
Nikidanganywa na ukweli naujua, sipendi kubishana huwa najiamulia tu kichwani maamuzi yangu mwenyewe.
 
Hakuna kitu sipendi kwenye mahusiano kama mtu kutokuwa muwazi na mkweli...
 
Anipigii simu hadi nipige au kutuma text mm nisipopiga naye hanitafuti au akianza majibu ya mkato mm wala siulizi naamua kutafuta njia nyingine. Mambo yasiwe mengi au mengi yasiwe mambo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom