katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Wadau leo ni kula kuku kwa sana na bia .
Msisahau kupima, ukishindwa Condom zipo. Msisahau kabisa baadae mnakuja wadau nawashwa busha zimevimba au nimejikuta nimeparamia mdada mzuri nikasahau kutumia kinga halafu mnatusumbua sisi.
Kuweni makini.