kifoda wabruu
Member
- Apr 20, 2019
- 5
- 0
Natafuta marafiki sehemu yoyote Tanzania me naishi kagera wilaya ya biharamulo haijalishi we wakike au was kiume kwa mawasiliano tigo 0710535990
Airtel 0692536353 karbu
Airtel 0692536353 karbu
Bei gani
Yote sawa tofauti ni herufi kubwa kwa mdogoUnaishi biharamulo au BIharamulo?
Unahitaji rafiki wa kushare nae nini mkuu, uwe specific ili usije kutana na walizaji.
29 umrii jinsia me ni mwanaumeUnatafuta "partner in crimes"? Weye ni wa jinsi gani,umri wako na mambo kama hayo?
Una sanduku la posta?Napenda tuwe marafiki wa kalamu.How do you find it?29 umrii jinsia me ni mwanaume
SLP 70 biharamuloUna sanduku la posta?Napenda tuwe marafiki wa kalamu.How do you find it?