Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utakutana na msichana mzuri na mwenye muonekano wa kuvutia, akiwa na rika la kuanzia miaka 23 hadi 26 lakini mawazo yake ni mgando. Anatumia uzuri wake kama chombo cha kubadilisha mabwana na...
6 Reactions
50 Replies
8K Views
Ukikubaliwa na binti, juwa kamati ya mashonga zake wamepitia CV zako [emoji126][emoji126][emoji126]
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mtu Umeamua kuachana na mwenza wako, na unahitaji kuwa singo nini ufanye usijiingize kwenye mapenzi kabisa? Je ni kweli inawezekana?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mdada Kama kila siku Iendayo kwa Mungu, Mumeo au Boyfriend wako ni sababu ya wewe kulia na kuumia na mapenzi (Usaliti). Stop crying, Futa machozi yako na Uvae Vizuri, kisha Funga safari na Uende...
1 Reactions
49 Replies
13K Views
Ivi walio na kucha ndefu za mikononi mnafanyaje usafi, mnakula vipi, mnafua vipi, pia nani kawaambia mnapendeza mkiwa na mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movie za kinigeria.? Cha ajabu kwa...
10 Reactions
116 Replies
14K Views
Hapana limenikereketaaa nikaona ngoja nililete jamvini.. Habari zenu wanajamvi. Iko hivi na date na wanaume ambae apo nyuma aliishi na mwanamke wake bila ndoa na mahari alipeleka ukweni...
12 Reactions
184 Replies
16K Views
Huwa najisikia vibaya sana ninapoenda hoteli yenye swimming pool naishia kutembea kwenye maji na kucheki wengine wakiogelea. Natamani kujifunza kuogelea maana naweza zama siku yoyote kwenye...
5 Reactions
79 Replies
12K Views
Wakuu kuuliza sio ujinga nyie wenyewe si mnaona Hali ya hewa.mimi Nina mpenzi wangu Ila siishi naye Yuko mtaa mwingine na ninapokaa.Sasa tokea juzi anaumwa anatapika Jana kaenda medical kapimwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa kawaida mume na mke hujulikana kama mwili mmoja ikimanisha wameshakuwa kama kitu kimoja Kwamana hiyo kushrikiana kwa kila jambo na pia kuwa wawazi kwa kila mmoja kwa mwenzake Ila hili jambo...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Masoud Kipanya ameweka wazi kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kutokana na kwamba mwanamke ana excuses nyingi sana kama kuchoka,kwenda mwezini,ujauzito( Kuna wanawake wakipata ujauzito yeye...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu Habari. Lugha ya picha,wewe umeelewa nini
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa napenda sana nyimbo sana za Barnaba na Lavalava. Sasa mara nyingi mke wangu amekuwa ni kama apendi nisikilize nyimbo hzo ambapo kwangu navutiwa sana nazo... Nakuwa sana na hisia ya hzo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nilikua na mpenzi wangu mmoja hivi huko nyuma, enzi hizo nilikua sijastablize sana kimaisha ingawa nilikua na kazi ya kudumu. Nikiwa na huyo binti tukawa na mipango yetu mingi, yeye alikua...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Nmeshangaa eti mwanaume anasombwa na mafuriko ya kwenye kamtaro ka maji taka? Je angekuwa anakaa maeneo ya mto msimbazi au jangwani ingekuaje? Aina ya watoto wa kiume wa Arusha ni cha Upepo sana...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sijapost chochote hapa hii ni kutokana na wingi wa majukumu na ujenzi wa taifa jf kuna watu waliopitia hili jaribu ninalopitia kwa sasa mtoto wangu wa miaka mitatu kasoro siku moja...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
naitwa jurnia from moshi nina miaka 26 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo umri : miaka 18-24 elimu ; kiwango chochote rangi: yoyote bt asiwee mweusiii tiiiiii tiiiiii umbo: napenda mweny umbo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
.... Morning Naswali nataka kuuliza hivi kwanini wanawake wanjaa na vitu vidogo sana unaweza ..kukuta mwanamke mtu mzima ..lakini anagombea ugali na maharagwe hali yakuwa anafanya Kazi ..au mme...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habar za jpili wanabodi Kama mada inavosomeka hapo juu, kumekuwa na wingu kubwa sana saiv hasa kwa watu kuachana na kuanza kutupiana maneno ya hapa na pale na hta kujenga uadui. Mapenz sio vita...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu.... Ni Jumamos nyingine tuliivu kabisa,.natumain muuwazima wa afya Niende moja kwa moja kwenye point, Ni hiv kipind cha nyuma kwenye miaka ya 2013 nilivoanza mchezo huu wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii ni principal makini sana ndugu zangu, yapasa tuitambue Ukiona mahusiano yenu yapo tuu kimya, tulivu, hakuna kufatiliana, mara magomvi ya simu and the likes, no wivu, hata kugombana gombana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…