Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazee ushaurini wenu kesho naenda kutambulishwa ukweni kwa mara ya kwanza kabisa. Nipeni ushauri hapa. Nivae Tisheti ya NMB au CRDB?
0 Reactions
42 Replies
4K Views
  • Closed
Kwahiyo Umeshindwa kutafuta hata uliyo soma nao wewe utakuwa so mzima
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua vijana wengi wamekata tamaa ya kuona kutoka na challenges zinazotokea. Lakini napenda kuwaosia hii sio wanawake wote ni capable kuolewa ni sawa na maisha ya kawaida haiwezekana wote tukawa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari waungwana, nipo na uchumba na binti wa kikongomani, nahitaji kufunga nae ndoa, naomba kujua utaratibu ulivyo kuanzia mwanzo hadi ndoa. Kwa Desturi za kibongo na za kwao, kwa wajuzi.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Miaka iliyopita niliweka thread humu kwamba waalimu shule ya msingi ndo wanafaa kuolewa na ndo wanaolewa sana. Ulimwengu wa digital umeingia kila mtaa hao waalimu wa shule ya msingi au secondary...
17 Reactions
138 Replies
14K Views
Juzi nilikutana na binti mrembo maeneo ya rangi3 akanipa namba leo Ndo tulipanga kukutana katika restaurant moja apa rangi3 inaitwa taweed restaurant. Mda wa kukutana ulipofika nikajongea cha...
16 Reactions
125 Replies
14K Views
muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa. Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu. kisa cha kuniacha ni haya...
8 Reactions
72 Replies
12K Views
  • Closed
Hawa ni wanawake wanaotokea katika mikoa ya Dodoma na kule Singida, ni wanawake waliobarikiwa sana uzuri na weupe hasa wanyaturu na warangi Lakini moja ya sifa kuu nzuri walionayo huwa sio...
6 Reactions
39 Replies
19K Views
  • Closed
Wakuu leo nimeamka kwenda kukojoa naona kichwa cha dushe (kimlija kwa ndani) kinawasha, Yaani muwasho flani hivi ambao mpaka sasa naona unanisumbua sumbua hapo nipo tu nabinya binya dushe, Hivi...
4 Reactions
80 Replies
10K Views
Nina girlfriend wangu ambaye kila tukigombana zikipita siku tatu au nne sijamsemesha ananiblock Whatssap na tukishaelewana ana unblock. Nikimuuliza kwanini anapenda kuniblock kila tukikosana...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, kutokana na suala zima la usafi nimejiuliza sana juu ya umuhimu wa kuwa na kucha ndeeeeeefu kama mwanasesere. Hawa akina dada wanachambaje? Na wanajikinga vipi dhidi ya bakteria wanaoweza...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Ukiona mapenzi hayakuumizi, ujue ushakuwa malaya! [emoji23]
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Eti unajiuliza sababu za mama ake kubeba mimba? Hata kama alitaka chipsi.. mshukuru Mungu umezaliwa.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
siku moja nlikuwa natoka handeni kwenda dar , nikapanda ksk bus ambayo ni luxury kama hiyo yako , wakati imeanza safari , kituo kinachofuata alikuja dada mmoja , mzurii na kajaaliwa nyamaa nyama...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni Bora Kuanzisha Mahusiano Na Mtu Mwenye Kipato cha Chini Au Cha Kawaida Na Akawa Anaheshimu Hisia zako na Kukupa Furaha Kuliko Kumng'ang'ania Mwenye Kipato Kikubwa halafu ukaishi Kwenye...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi...
12 Reactions
96 Replies
10K Views
Habari wadau, Naona hili swala limekuwa gumu kuelezeka hasa kwa wale wanaotarajia aidha kuwasomesha wapenzi ama kuwasubiria wakasome kwa kuchaguliwa vyuoni halafu ndio waoe. Ukweli mchungu ni huu...
47 Reactions
160 Replies
23K Views
Wakuu niko nchi fulani huku majuu. Nina rafiki yangu Mnigeria, kanisimulia kwamba rafiki yake alikuwa ameoa mke mzuri tu na wote walikuwa waajiriwa wa serikali. La ajabu ni kwamba, majukumu yote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom