Hii inatafsiri gani kwa mke

Hii inatafsiri gani kwa mke

abuunadya

Member
Joined
Apr 20, 2019
Posts
54
Reaction score
76
Kwa kawaida mume na mke hujulikana kama mwili mmoja ikimanisha wameshakuwa kama kitu kimoja
Kwamana hiyo kushrikiana kwa kila jambo na pia kuwa wawazi kwa kila mmoja kwa mwenzake

Ila hili jambo kwa wanawake naona ni gumu japo kwa wanaume tunaweza

Yan kiukweli wanawake wanatunza siri sana utaskia tu kwa watu ila yye kukuambia sahau

Mara utaskia anajenga kwao, mara kamfungulia ndugu yke biashara mara kanunua bodaboda kampa jamaa wanafnya biashara ukimuliza ataruka futi 100 ila kiuhalisia ni kweli

Yupo radh adhulumie kimykimya ila sio kukueleza mume angalau ufuatilie

Nni husababisha iv au anakuwa hana tena mapenzi na mume au ndo hulka yao
 
Sounds real, ila ukiwa mshenzi hata huyo bikra anaweza kuwa mshenzi vile vile!
Oa mwanamke bikra hutakuja juta Mkuu.

Mwanamke anayefall in love for the First time. She act like idiot. Anaweza hata kutukana ndugu zake kwa sababu yako but hao wengine kwa kweli ni tabu
 
Bikra ndio afai hata kwa kulumagiwa usije hata siku moja ukaoa bikra mana ndio wachepukaji wakubwa

unaweza kukuta mna watoto wa nne wako ni mmoja tu, na akaishi na vzuur mpaka mkazeeka. ila km huzijui sampuli ukafurah tuu..mwanamke ni kiumbe jasiri kumzidi ibilisi akiamua...na akiwa mwema kwako basi ujue wewe umebarikiwa na una bahati.
hakuna mwanamke mwema
 
kiukweli....hao viumbe akili yao wanaijuaga wenyewe tu
 
Bikra ndio afai hata kwa kulumagiwa usije hata siku moja ukaoa bikra mana ndio wachepukaji wakubwa

Hujui usemalo. Ukikua utaelewa.

Uliza wazee wa zamani achana na hawa vijana wa siku hizi nusu mwanaume nusu mwanamke ndio watakuambia jambo hilo.
 
Hata mama yako uliokaa tumbon kwake miezi 9 futa hiyo kauli mkuu
Hana sababu ya kufuta. Ulivyolelewa na mama yako si kila mtu kalelewa hivyo, kuna waliotupwa jalalani wakaokotwa na kutunzwa kwenye vituo vya kulelea yatima.
 
Sounds real, ila ukiwa mshenzi hata huyo bikra anaweza kuwa mshenzi vile vile!

Mwanaume kamili anajua kutofautisha kitu bora na dhaifu. Kitu bora anakipa heshima na kukilinda. Lakini kitu dhaifu anakistahi na kukifariji.

Mwanamke mwenye bikra ni mwanamke bora. Wanaume kama sisi tunawaheshimu na Kuwalinda. Tunahakikisha tunawapa furaha.

Hata hivyo tukikutana au ikitokea tukaoa wanawake wasio na bikra na ambao wamezalishwa tunawastahi na kuwafariji lakini hatuwapi heshima wayostahili wanawake bora.

Mwanamke bikra achana naye mkuu. Naongea kwa uzoefu. Akikupenda amekupenda na hana historia nyuma ya mapenzi zaidi yako.

Ni kama mtoto mdogo unaweza mwambia hii ni nyeusi kumbe ni nyeupe akakubali. Atakupenda daima dawamu na atakuamini kama mzazi wake.

Hao wanawake wengine nawakubali ingawa si kama mwanamke bikra. Msimamo wangu upo hivyo na ndio unafanya nione mapenzi yanaraha yake ukiwa na mwanamke uliyembikiri.

Mwanamke Bikra hana reference au vitabu vya kuvirejelea. Wewe ndio mwandishi wa kwanza kwenye moyo wake. Wewe ndio utakuwa kitabu cha rejea siku mkiachana.

Tofauti na kuoa mwanamke asiye na bikra kila unachokifanya anarejelea Ex wake.

Mbaya zaidi Ex wake ajue mahaba kama mimi JokaJeusi. Mzee wa kupeti peti, Mzee wa kubembeleza. Mzee wa kumchezesha mtoto samkololo. Mzee wa kumsifia hata kana akijamba unamwambia napenda unavyojamba Darling. Yaan mpaka Ubo.lo umedinda. I like it. then unamchapa kibao mshenzi cha matako.

Mwanamke bikra ni sawa na plain paper mpya ambayo haijaandikiwa. Wewe ndio mwandishi. Unaandika wewe kwa kadiri utakavyoona. Kama mtaachana. Yule anayekuja ataandika juu ya maandishi yako na maandishi hayataeleweka kwani yatachanganyana na yako. Hivyo hatakupenda kama alivyompenda wa awali.

Sijui kwa nini wanaume hawaelewi hili.. Kazi kudanganywa na wanawake. Eti mwanamke akikuacha amekuacha. Hahaha.
 
Kwa kawaida mume na mke hujulikana kama mwili mmoja ikimanisha wameshakuwa kama kitu kimoja
Kwamana hiyo kushrikiana kwa kila jambo na pia kuwa wawazi kwa kila mmoja kwa mwenzake

Ila hili jambo kwa wanawake naona ni gumu japo kwa wanaume tunaweza

Yan kiukweli wanawake wanatunza siri sana utaskia tu kwa watu ila yye kukuambia sahau

Mara utaskia anajenga kwao, mara kamfungulia ndugu yke biashara mara kanunua bodaboda kampa jamaa wanafnya biashara ukimuliza ataruka futi 100 ila kiuhalisia ni kweli

Yupo radh adhulumie kimykimya ila sio kukueleza mume angalau ufuatilie

Nni husababisha iv au anakuwa hana tena mapenzi na mume au ndo hulka yao
Ukiona hivyo mapenzi Keisha,jiongeze!
 
Hataaaaar
Mwanaume kamili anajua kutofautisha kitu bora na dhaifu. Kitu bora anakipa heshima na kukilinda. Lakini kitu dhaifu anakistahi na kukifariji.

Mwanamke mwenye bikra ni mwanamke bora. Wanaume kama sisi tunawaheshimu na Kuwalinda. Tunahakikisha tunawapa furaha.

Hata hivyo tukikutana au ikitokea tukaoa wanawake wasio na bikra na ambao wamezalishwa tunawastahi na kuwafariji lakini hatuwapi heshima wayostahili wanawake bora.

Mwanamke bikra achana naye mkuu. Naongea kwa uzoefu. Akikupenda amekupenda na hana historia nyuma ya mapenzi zaidi yako.

Ni kama mtoto mdogo unaweza mwambia hii ni nyeusi kumbe ni nyeupe akakubali. Atakupenda daima dawamu na atakuamini kama mzazi wake.

Hao wanawake wengine nawakubali ingawa si kama mwanamke bikra. Msimamo wangu upo hivyo na ndio unafanya nione mapenzi yanaraha yake ukiwa na mwanamke uliyembikiri.

Mwanamke Bikra hana reference au vitabu vya kuvirejelea. Wewe ndio mwandishi wa kwanza kwenye moyo wake. Wewe ndio utakuwa kitabu cha rejea siku mkiachana.

Tofauti na kuoa mwanamke asiye na bikra kila unachokifanya anarejelea Ex wake.

Mbaya zaidi Ex wake ajue mahaba kama mimi JokaJeusi. Mzee wa kupeti peti, Mzee wa kubembeleza. Mzee wa kumchezesha mtoto samkololo. Mzee wa kumsifia hata kana akijamba unamwambia napenda unavyojamba Darling. Yaan mpaka Ubo.lo umedinda. I like it. then unamchapa kibao mshenzi cha matako.

Mwanamke bikra ni sawa na plain paper mpya ambayo haijaandikiwa. Wewe ndio mwandishi. Unaandika wewe kwa kadiri utakavyoona. Kama mtaachana. Yule anayekuja ataandika juu ya maandishi yako na maandishi hayataeleweka kwani yatachanganyana na yako. Hivyo hatakupenda kama alivyompenda wa awali.

Sijui kwa nini wanaume hawaelewi hili.. Kazi kudanganywa na wanawake. Eti mwanamke akikuacha amekuacha. Hahaha.
 
Wanaume wote mliooa wanawake mabikra inabid muache kuchepuka
 
Yani nilikuwa namaanisha akianza kuchepuka ni hatar sana coz anakutana na mitalimbo tofaut na zenye ladha tofauti so atataka kuonja radha ya mitalimbo mingine apo sasa ndio ataanza kukudharau na kukuona huna maana
Labda ukianza yeye anamaliza Kinyume na hapo sivyo nakukatalia ndugu
 
Ila achen utani hawa bkr wanaraha ya pekee
Ni kama unampleleka mwanao shule kwa mara ya kwanza hajui kusoma wala kuandka mwalimu yule atakaeanza kumfundsha a, e,.....hataweza kumsahau maisha yake hata kama atakuwa mdogo inapendeza sana kuoa wa hivyo
 
Back
Top Bottom