Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,510
Habar za jpili wanabodi
Kama mada inavosomeka hapo juu, kumekuwa na wingu kubwa sana saiv hasa kwa watu kuachana na kuanza kutupiana maneno ya hapa na pale na hta kujenga uadui.
Mapenz sio vita wala uadui, nini nataka kusema ikitokea mmeachana msijenge uadui but muendelee kuish kama before hamjadate, maisha ni circle unaweza jenga uadui kwa ex wako then unakuja kumkuta oficin akashindwa kukupa kazi au ukaja kuwa na shida afu na yeye ndo msaada pekee wa kukusaidia.
Muheshimu sana lakn usimpe nafas sana hasa kwenye chats nk, kwan itapelekea kupasha viporo, point hapa usimtafute sana na kama upo kwenye mahusiano mapya mwambie ajue ili asije kukuvurugia mahusiano yako na ikiwezkana usimtafute kabisa kata mawasiliano ila hakikisha mpo kwenye good term na sio maadui.
NB: Jana mimi yamenikuta nilikutana na girl frend wangu tuliachana since 2014 na tuliachana vizuri,yeye ndio aliyenikumbuka na akanipa dili la pesa connection. Tulipiga story nyingi sana akaniambia ana mtu wake na me nkamwambia ninae pia nampenda.
TUWAHESHIMU SANA MA'EX WETU.