Masoud Kipanya: Mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,656
Masoud Kipanya ameweka wazi kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kutokana na kwamba mwanamke ana excuses nyingi sana kama kuchoka,kwenda mwezini,ujauzito( Kuna wanawake wakipata ujauzito yeye ni kichefuchefu na kutapika, asubuhi mpaka jioni yupo anakula udongo tu,),kuzaa,katika vipindi hivi mwanaume inabidi asimguse mwanamke hivyo kusababisha kuchepuka

Naunga mkono hoja,huwa nachepuka sana baby momy wangu akiwa mwezini, mwanamke hawezi kukupa pussy kama unavyotaka Mara amechoka,Mara hajisikii,kwa maumbile yetu wanaume hatutosheki na mwanamke mmoja ila mara nyingi tunajizuia tu kwa kuogopa magonjwa n.k msikilize hapa zaidi

....
 
Macho yake tu yanaonyesha ni mvuta bangi mmoja mzuri sana
 
Naunga mkono juhudi za masoud kipanya.
 
Wanaume wenyewe nguvu zipo wapi za wake 2 labda awe wa mikoani sio wa dar
 
Masoud Kipanya ameweka wazi kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kutokana na kwamba mwanamke ana excuses nyingi sana kama kuchoka,kwenda mwezini,ujauzito( Kuna wanawake wakipata ujauzito yeye ni kichefuchefu na kutapika, asubuhi mpaka jioni yupo anakula udongo tu,),kuzaa,katika vipindi hivi mwanaume inabidi asimguse mwanamke hivyo kusababisha kuchepuka

Naunga mkono hoja,huwa nachepuka sana baby momy wangu akiwa mwezini, mwanamke hawezi kukupa pussy kama unavyotaka Mara amechoka,Mara hajisikii,kwa maumbile yetu wanaume hatutosheki na mwanamke mmoja ila mara nyingi tunajizuia tu kwa kuogopa magonjwa n.k msikilize hapa zaidi

....

Kama ni hivyo basi mwaoa ili?
 
Anaongelea wa dini yake, nini?

We can't change nature ...hizi sheria za wanadamu ndo zinafanya uzinzi uzidi kukithiri!!!

Mungu fundi sana hata mababu zetu kiasili walikua na polygamy...!!!

NB;Povu kafulie ..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ngoja wanawake waje wamwage povu
 
Back
Top Bottom