Habari za mida wakuu.... Ni Jumamos nyingine tuliivu kabisa,.natumain muuwazima wa afya
Niende moja kwa moja kwenye point, Ni hiv kipind cha nyuma kwenye miaka ya 2013 nilivoanza mchezo huu wa kikubwa nilikua kila nikipiga show natumia condom na mambo yalikua shwaar kabisa gem inaenda poa had dk 90 zinaisha kwa ushind mzito. Nikua sijawah kucheza show peku peku
Mambo yakaendaa nikahama toka dar nikaenda lind kikaz, nikakutana na dem mmoja hv. Siku moja nikamuomba twende swiming pool.. tukaenda tukacheza na maji mambo yakawa burudan kabisa. Wakati tunavaa akaniambia anaham na nilikua sina condom ikabid nipige kimoja cha fasta bila condom na haikuchukua hata dk 2 wazung wakatoka.
Sasa baada ya hapo kila tukikutana au akija gheto hatak nitumie condom. So nikawa napiga hvo hvo kila anapokuja gheto. Na kwa dem mwingine aliefuatia naye nikawa napiga hvo hvo bila zana.
Maajabu ambayo yananitokea now ni pale ninapotaka kutumia condom, nikivaa tu condom sasa hv ngoma inasinyaa. Nikiitoa baada ya dk mbili inanyanyuka tena,... hvo hvo had nimekuwa mwoga kukutana na dem mpya maana nahis condom itaniaibisha na ili kuondokana na aibu hyo itanibid nipige hivo hvo kitu ambacho ni hatar kwa afya yangu
Sasa wakuu nlikua nauliza je kuna mtu yeyote alishawah pitia situation kama hii ya kwangu na alichomokaje kwenye hali kama hii?? Maana leo tu amekuja demu wang mmoja nikajaribu kuvaa condom ngoma ikazingua yan
Muwe na weekend njema wakuu
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app