Wanawake kwanini mnakuwaga na njaa ya vyakula

Wanawake kwanini mnakuwaga na njaa ya vyakula

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,348
Reaction score
83,299
.... Morning

Naswali nataka kuuliza hivi kwanini wanawake wanjaa na vitu vidogo sana unaweza ..kukuta mwanamke mtu mzima ..lakini anagombea ugali na maharagwe hali yakuwa anafanya Kazi ..au mme wake kila kitu anampa ..lakin akimuona mgeni roho inamluka ..anambania ugali au upolo tu.

Majibu tafadhari.
 
....Acha wawe na njaa na vitu vidogo hivyo hivyo ili na sisi masikini, tuwamudu.
 
.... Morning
Naswali nataka kuuliza hivi kwanini wanawake wana njaa na vitu vidogo sana unaweza ..kukuta mwanamke mtu mzima ..lakini anagombea ugali na maharagwe hali yakuwa anafanya Kazi ..au mme wake kila kitu anampa ..lakin akimuona mgeni roho inamluka ..anambania ugali au upolo tu.
Majibu tafadhari.

Mda mwingine utamkuta mwanaume kakonda utadhani anashindia pipi ..lakin mwanamke yuko na Afya nzuri.
 
Mkuu umenyimwa uporo nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
.... Morning

Naswali nataka kuuliza hivi kwanini wanawake wanjaa na vitu vidogo sana unaweza ..kukuta mwanamke mtu mzima ..lakini anagombea ugali na maharagwe hali yakuwa anafanya Kazi ..au mme wake kila kitu anampa ..lakin akimuona mgeni roho inamluka ..anambania ugali au upolo tu.

Majibu tafadhari.
Kweli, wanawake wengi wanapenda sana kuficha ficha vitu mfano mpo kwenye semina kuna waandaji wameweka pipi na maji sasa baada ya semina utaona wanabeba zote kwenye vibegi vyao huwa najiuliza njaa,tamaa au shida nini
 
.... Morning

Naswali nataka kuuliza hivi kwanini wanawake wanjaa na vitu vidogo sana unaweza ..kukuta mwanamke mtu mzima ..lakini anagombea ugali na maharagwe hali yakuwa anafanya Kazi ..au mme wake kila kitu anampa ..lakin akimuona mgeni roho inamluka ..anambania ugali au upolo tu.

Majibu tafadhari.

Kawaida wanawake wana vigeugeu na roho mbaya. Shetani anapenda sana kucheza na kufanya urafiki na wanawake, hivyo usishangae mwanamke kuwa kigeugeu....ni kawaida yao.
 
Nitembelee ila ujiandae tu kunyimwa kiporo kama mleta thread alivyonyimwa na uroho wake [emoji1787][emoji1787]
Doooohhh mbn umeshamkatisha tamaa Mgeni ... Sawa sio kesi sana, Mimi nije nimebeba nini na nini ??
 
Back
Top Bottom