Ufanyeje ili usifanye mapenzi tena pale unapoamua kuachana na mwenza wako

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,016
4,961
Mtu Umeamua kuachana na mwenza wako, na unahitaji kuwa singo nini ufanye usijiingize kwenye mapenzi kabisa? Je ni kweli inawezekana?
 
Kama hutak kufanya mapenzi unataka nini sasa. Uliwe au??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi sjaelewa

Kwamba ufanyeje usipashe kiporo au usijiingize kabisa kwenye mapenzi?

Kama ni kupasha kiporo mbona inawezekana ukiamua, na kutojiingiza mapenzini ni kuidhulumu nafsi yangu tumeumbwa kwa pea na nafsi zenye kutamani na kupenda huwez kwenda kinyume nayo
 
Back
Top Bottom