Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Ivi walio na kucha ndefu za mikononi mnafanyaje usafi, mnakula vipi, mnafua vipi, pia nani kawaambia mnapendeza mkiwa na mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movie za kinigeria.?
Cha ajabu kwa kizazi hiki hadi wanaume wanamikucha mirefu..
Binafsi msichana msafi ni pamoja na kukata kucha,
Cha ajabu kwa kizazi hiki hadi wanaume wanamikucha mirefu..
Binafsi msichana msafi ni pamoja na kukata kucha,