Hapana limenikereketaaa nikaona ngoja nililete jamvini..
Habari zenu wanajamvi.
Iko hivi na date na wanaume ambae apo nyuma aliishi na mwanamke wake bila ndoa na mahari alipeleka ukweni...
Huwa najisikia vibaya sana ninapoenda hoteli yenye swimming pool naishia kutembea kwenye maji na kucheki wengine wakiogelea.
Natamani kujifunza kuogelea maana naweza zama siku yoyote kwenye...
Wakuu kuuliza sio ujinga nyie wenyewe si mnaona Hali ya hewa.mimi Nina mpenzi wangu Ila siishi naye Yuko mtaa mwingine na ninapokaa.Sasa tokea juzi anaumwa anatapika Jana kaenda medical kapimwa...
Kwa kawaida mume na mke hujulikana kama mwili mmoja ikimanisha wameshakuwa kama kitu kimoja
Kwamana hiyo kushrikiana kwa kila jambo na pia kuwa wawazi kwa kila mmoja kwa mwenzake
Ila hili jambo...
Masoud Kipanya ameweka wazi kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kutokana na kwamba mwanamke ana excuses nyingi sana kama kuchoka,kwenda mwezini,ujauzito( Kuna wanawake wakipata ujauzito yeye...
Nimekuwa napenda sana nyimbo sana za Barnaba na Lavalava. Sasa mara nyingi mke wangu amekuwa ni kama apendi nisikilize nyimbo hzo ambapo kwangu navutiwa sana nazo... Nakuwa sana na hisia ya hzo...
Nilikua na mpenzi wangu mmoja hivi huko nyuma, enzi hizo nilikua sijastablize sana kimaisha ingawa nilikua na kazi ya kudumu.
Nikiwa na huyo binti tukawa na mipango yetu mingi, yeye alikua...
Nmeshangaa eti mwanaume anasombwa na mafuriko ya kwenye kamtaro ka maji taka? Je angekuwa anakaa maeneo ya mto msimbazi au jangwani ingekuaje?
Aina ya watoto wa kiume wa Arusha ni cha Upepo sana...
Ni muda mrefu sijapost chochote hapa hii ni kutokana na wingi wa majukumu na ujenzi wa taifa
jf kuna watu waliopitia hili jaribu ninalopitia kwa sasa
mtoto wangu wa miaka mitatu kasoro siku moja...
naitwa jurnia from moshi
nina miaka 26
natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
umri : miaka 18-24
elimu ; kiwango chochote
rangi: yoyote bt asiwee mweusiii tiiiiii tiiiiii
umbo: napenda mweny umbo...
.... Morning
Naswali nataka kuuliza hivi kwanini wanawake wanjaa na vitu vidogo sana unaweza ..kukuta mwanamke mtu mzima ..lakini anagombea ugali na maharagwe hali yakuwa anafanya Kazi ..au mme...
Habar za jpili wanabodi
Kama mada inavosomeka hapo juu, kumekuwa na wingu kubwa sana saiv hasa kwa watu kuachana na kuanza kutupiana maneno ya hapa na pale na hta kujenga uadui.
Mapenz sio vita...
Habari za mida wakuu.... Ni Jumamos nyingine tuliivu kabisa,.natumain muuwazima wa afya
Niende moja kwa moja kwenye point, Ni hiv kipind cha nyuma kwenye miaka ya 2013 nilivoanza mchezo huu wa...
Hii ni principal makini sana ndugu zangu, yapasa tuitambue
Ukiona mahusiano yenu yapo tuu kimya, tulivu, hakuna kufatiliana, mara magomvi ya simu and the likes, no wivu, hata kugombana gombana...
Unapoendelea kuhangaika na majukumu yote ya ya ulezi,kulisha ,kusomesha nk ,napenda kukukumbusha hili nalo.
Kama bado una wazazi usithubutu kuwatanguliza mbele wanao na kuwanyima wao. Wamewekeza...
Habari zenu waungwana?
Leo naja kusema na akina dada munatuuwa bure wanaume kwa hakika mutabaki kua wengi kwa Visa vyenu maana munatuuwa sana wanaume mwisho wa siku kuna hatari ya kua peke yenu...
Habari wapendwa,,, nimeshindwa kumuelewa huyu dada, kila tukichat tunachati vizuri sana, salamu kama kawaida na maneno mengine anajibu fresh tu kabisa, ila nikimuandikia kwamba nampenda, anacheka...
Wakuu habari za muda.
Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu,wanaochepuka wanaanzisha nyuzi zao mbali mbali kusifia mambo yao hayo huku wakiwatamanisha wasiochepuka waanze mchezo huo.
Sasa...
Hii ni hatari wakuu, hii kitu haiwezi kuwa na athari za kiafya hapo baadae kweli?
Hii ni mara ya tatu natumia, mwanzo nilikuwa sijagundua. Nimegundua kuwa siku ninazotumia huwa nafanya kazi usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.