Binti akikukubalia Baada Muda Mrefu Ujue..

Binti akikukubalia Baada Muda Mrefu Ujue..

ha ha ha kama kweli hivi..na ukiachika bunge limekaa ujue
 
Jua kwamba aliyekuwa anampa kibri amempiga chini, sasa anatafuta wa kumtoa upweke na kutuliza maumivu.
 
Labda huyo anakuwa kashikiwa akili na hisia na mashoga zake

Yani mtu nayeenda kudate nae nianze kusikiliza best zangu wanasemaje ili nimkubali ama nimkatae??[emoji134][emoji134]
[emoji108][emoji108]Umenena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiii sio kweli ni either kaachana na yule alikuwa anamzuzua au she is lonely[emoji125]

Huu ndo ukweli....huyu ajielewi, na asipojielewa mapema mtakuja kummaliza nyie dada zangu
 
Labda huyo anakuwa kashikiwa akili na hisia na mashoga zake

Yani mtu nayeenda kudate nae nianze kusikiliza best zangu wanasemaje ili nimkubali ama nimkatae??🙆🙆
Wanawake wa chuo wengi wao wana hii tabia
 
Hayo ni mapenzi ya Mtaani. Yani ww upo kitaa na dem yupo kitaani hapohapo.

Ila now watu tunafanya mapenzi over Distance. Bebii yupo Mwanza au Dar au Dodoma mimi nipo Chuggani, I go to visit there and do other business.

Haya mapenzi ya kiswahili ya kutongozana na watoto wa mtaani nisha acha Tangu nipo Shuleni
 
Girls/women wapo complex, ulichoandika kina ukweli maana ni moja ya matokeo ya tafiti za muda mrefu inayoelezeathe art of approaching, how to date any girl/women...

Ingawaje haipo hivyo kwa wanawake wote, sana hii hutokea kwa wanawake waliopo katika jumuiya(shuleni, kazini, kanisani etc) na mtongozaji anafahamika na hiyo jumuiya ambayomwanamke yupo...

Pia wakati mwingine mwanamke anayekuzungusha sana huenda ana mtu wake asiyemuelwa elewa, hivyo bado yungali atafakari muda wote akuzungushao...

Pia wakati mwingine mahusiano huwa yanachosha hivyo mwanamke huamua kuchukua likizo na kufanya mambo binafsi, kundi hili ndio wale ambao hufanya sex kwa one night stand tu kwa nadra mno...

Etc...

Etc...

Etc...
 
Back
Top Bottom