Hii hapa dawa ya mwanaume msaliti/mchepukaji

Profesa Mgala

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
49
Reaction score
52
Mdada Kama kila siku Iendayo kwa Mungu, Mumeo au Boyfriend wako ni sababu ya wewe kulia na kuumia na mapenzi (Usaliti). Stop crying, Futa machozi yako na Uvae Vizuri, kisha Funga safari na Uende moja kwa moja Kumtembelea.

Hakikisha Unamnunulia zawadi nzuri aipendayo… Ukifika kwake msogelee karibu, mpe zawadi yake, kisha mbusu na kuanza kula denda, chezea bunduki yake…mpaka isimame na kupepea kama bendera ya taifa….Pale unapoona kichwa chake cha chini kimesimama mithili ya mlingoti wa Tanzanian flag, msukumie kwenye kochi au kitandani, mpatie romance ya kufa mtu mpaka asahau kabisa kuvaa Kondom.

Hakikisha unabeba female condoms, ndani ya hiyo kondom ya kike weka pilipili kichaa na ndimu ya unga. Then Panua mapaja yako na umwachie ulingo azame white house (Ikulu) taratibuuuuu.

Usimuonee huruma Mwache aingize dushe lake mpaka pilipili na ndimu Itakapoanza Kumuwasha naye ata ‘feels pains’ (maumivu makali) kama unayoyapataga wewe pale unapojua amekusaliti. Hakika ukifanya hivi ataipata fresh na kulia kama mtoto mdogo na atajua what it’s like to shed tears

Hii ndiyo dawa ya mwanaume Mchepukaji. Hupaswi kulia peke yako. Fanya hivi Mlie wote
You can thank me later.
Kwaherini...
FB_IMG_1522253654365.jpeg
 
Nasema USITUTISHE (InMaalim Seif's voice)
dawa nilitegemea ni kuobgeza utii na upendo. kumbe ni maangamisi akienda police na mahakamani unafungwa!! hukwepi sikutishi rafiki ndio ukweli ni sheria, huna haki ya kumdhuru mtu
 
Kuna watu wanatii na wanaupendo balaa but limwanaume linachepuka.
Don't take my comment too serious, sitapoteza muda kumtilia pilipili, ukiniboa nikafika mwisho wa uvumilivu nachapa lapa.
 
sasa umesema. tafuta kwa nini anachepuka?
1, Pepo
2. mwanamke upo upo tu hujitumi, sio msafi, huna mahaba, unafany kutimiza wajibu - hakuna vionjo!
3. jifunze mbinu za makahaba uwe kahaba kwa mumeo hachomoki!! ukijifanya mstaarabu atawala wengine tuu!!!
4, mfanye awe mtu wa ibada sana!! amuogope Mungu!!
 
Kuna thread nimesoma humu sikumbuki kuna mtu alisema wanaume nyie kuchepuka ipo yani haiepukiki kama kunywa maji vile hata kama mkeo ni perfect.
Kwa sisi wanawake naona mara kibao matangazo watu wanajiongeza makalio, sijui mnato na mataka taka kibao just to keep their men lakini wapi.
Unakuta mwanamke msafi, ana heshima ana tunza nyumba lakini bado mnachepuka....
Ko bora mtu yakimshinda atembee zake akatafute furaha mbele huko
 
rafiki wengine ni Pepo! wakiombewa wanabadilika
 
Mdada Kama kila siku Iendayo kwa Mungu, Mumeo au Boyfriend wako ni sababu ya wewe kulia na kuumia na mapenzi (Usaliti). Stop crying, Futa machozi yako na Uvae Vizuri, kisha Funga safari na Uende moja kwa moja Kumtembelea.

Hakikisha Unamnunulia zawadi nzuri aipendayo… Ukifika kwake msogelee karibu, mpe zawadi yake, kisha mbusu na kuanza kula denda, chezea bunduki yake…mpaka isimame na kupepea kama bendera ya taifa….Pale unapoona kichwa chake cha chini kimesimama mithili ya mlingoti wa Tanzanian flag, msukumie kwenye kochi au kitandani, mpatie romance ya kufa mtu mpaka asahau kabisa kuvaa Kondom.

Hakikisha unabeba female condoms, ndani ya hiyo kondom ya kike weka pilipili kichaa na ndimu ya unga. Then Panua mapaja yako na umwachie ulingo azame white house (Ikulu) taratibuuuuu.

Usimuonee huruma Mwache aingize dushe lake mpaka pilipili na ndimu Itakapoanza Kumuwasha naye ata ‘feels pains’ (maumivu makali) kama unayoyapataga wewe pale unapojua amekusaliti. Hakika ukifanya hivi ataipata fresh na kulia kama mtoto mdogo na atajua what it’s like to shed tears

Hii ndiyo dawa ya mwanaume Mchepukaji. Hupaswi kulia peke yako. Fanya hivi Mlie wote
You can thank me later.
Kwaherini...View attachment 1083859
Umeongea ujinga wa kiwango cha PhD
 
sasa umesema. tafuta kwa nini anachepuka?
1, Pepo
2. mwanamke upo upo tu hujitumi, sio msafi, huna mahaba, unafany kutimiza wajibu - hakuna vionjo!
3. jifunze mbinu za makahaba uwe kahaba kwa mumeo hachomoki!! ukijifanya mstaarabu atawala wengine tuu!!!
4, mfanye awe mtu wa ibada sana!! amuogope Mungu!!
Mimi ukichepuka wala sitakuuliza nitaumia lakini sitauliza kwasabu utanipa sababu na uniambie madhaifu yangu. Ila haitasaidia kwasabu ungeniambia mapema labda ningejirekebisha na labda usingechepuka.
Communication is so important in relationships coz zinasaidia na kujenga. Msipo communicate matokeo take ndo hayo
 
Maumivu ya kuwasha yanauma baada ya muda yanakata ....

Ujinga wa kusalitiwa unaumia nafsi yaani streeessss
 
Kuna watu wanatii na wanaupendo balaa but limwanaume linachepuka.
Don't take my comment too serious, sitapoteza muda kumtilia pilipili, ukiniboa nikafika mwisho wa uvumilivu nachapa lapa.
Unapigwa matukio hadi unasepa, kazi kweli kweli
 
Mimi ukichepuka wala sitakuuliza nitaumia lakini sitauliza kwasabu utanipa sababu na uniambie madhaifu yangu. Ila haitasaidia kwasabu ungeniambia mapema labda ningejirekebisha na labda usingechepuka.
Communication is so important in relationships coz zinasaidia na kujenga. Msipo communicate matokeo take ndo hayo
suala la kuchepuka ni so complex!
mfano inategemea mwanaume kabla ya kuoa alikuwa na wasichana wangapi, je alikuwa anadumu na msichana muda gani kabla ya kuachana , au at the same time alikuwa nadate wangapi. na hiyo huwa nisiri sana. nakuhakikishia mwanaume kama mpaka mnaingia mahusiano bado ana wasichana kibaa usidhani akioa ndio ataacha !! hapana. ni hulka yake. ndio maana huwa tunaambiwa tukae uchumba walau mwaka ili kujuna tabia. sasa kibaya ile kujuna tabia binti anaibuka na ujauzito!!
Ushauri, kama kweli mwanaume ataka kukuoa usimfunuilie chupi, tena akiomba iwe ndio discqualification!! maana kama kakuomba basi ana nyege mshindo ukimkatalia anaenda kwingine ! mmnyime, mtembelee kwake kaa kwake , kulala kalale kwa ndugu zake ama hata hotel!. anakutundika mimba anakuona halafu unalalamika anachepuka!!
 
Mimi ukichepuka wala sitakuuliza nitaumia lakini sitauliza kwasabu utanipa sababu na uniambie madhaifu yangu. Ila haitasaidia kwasabu ungeniambia mapema labda ningejirekebisha na labda usingechepuka.
Communication is so important in relationships coz zinasaidia na kujenga. Msipo communicate matokeo take ndo hayo
wivu wsa kimapenzi nao hauna formula. maana upo na watu wanareact kila mtu kivyake
 
Back
Top Bottom