Mzazi kijana chukua ushauri huu.

Mzazi kijana chukua ushauri huu.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,305
Unapoendelea kuhangaika na majukumu yote ya ya ulezi,kulisha ,kusomesha nk ,napenda kukukumbusha hili nalo.
Kama bado una wazazi usithubutu kuwatanguliza mbele wanao na kuwanyima wao. Wamewekeza sana kukufikisha hapo ulipo...walijitolea sana mpaka ukawa wewe. Ni silika ya mtoto kutenda kama mzazi,unapowasema vibaya au kuwadharau jua tu watakutenda hivyo hivyo siku moja. Ni muhimu kubalansi upendo wako kati ya wanao na wazazi wako. Kumbuka mahitaji ya wazazi ni machache zaidi na huwa ni waelewa sana ikitokea huna.
Jumamosi njema.
 
Asante kwa ukumbusho.

Ngoja niende kibanda Cha M PESA kwanza narudi.
 
Walikuwa wanatimiza wajibu wao. Acha na mimi nitimize wajibu wangu kwa wanangu. Hata wasiponijari badae si tatizo. Maana lilikuwa daraka langu.

Ikifikia hatua watu wote tukafikiria hivi tutakuwa tume-win,

Mzazi unapoleta kiumbe duniani hakikisha hakitateseka na ni jukumu lako kukiandalia mazingira mazuri ya kuishi

Sikumbuki exactly ni mstari gani katika biblia unasema mzazi bora ni yule anayeacha urithi kwa vizazi yake,

Hii habari ya wazazi wakikua waanze kutegemea watoto sio nzuri hata kidogo na ni mwanzo wa kurudishana nyuma,

Sisemi tusiwasaidie noo! Tuwasaidie kwa sababu ndo tayari walishaamini hivyo,

Ila kama wewe now unampleka shule mwanao aje kukusaidia baadae aisee kama ni mwanaume nikikushika nakuomba 0713
 
Mungu akubariki sana mleta uzi umeongea kitu cha thamani sana lazima tuwakumbuke wazazi wetu ili tupate na kuishi miaka mingi duniani,
 
Kuna wazazi wengine hawana shida na vijisenti
Kweli kabisa mkuu,ila wana shida sana na upendo wako. Tumia nao muda wako watafurahi.ikiwezekana wape hata vizawadi vidogovidogo tu.
 
Tunapofanya kaz ztu tufanye kaz hku tukjiwkea Akba sio tuzae tu kutegemea waje kututunza uzeen ni ufala kiwango cha Rami

Halaf yy alitimiza wajbu wake na mm aniachr nitimize wajibu wangu
 
Harafu kuzaa kuna kupata na kukosa.

But isiwe kigezo cha kutowasidia. Tuwasaidieni hawa wazee wetu inapobidi
Tunapofanya kaz ztu tufanye kaz hku tukjiwkea Akba sio tuzae tu kutegemea waje kututunza uzeen ni ufala kiwango cha Rami

Halaf yy alitimiza wajbu wake na mm aniachr nitimize wajibu wangu
 
Wazazi wenu hawahitaji pesa zenu!!!wanawahitaji nyinyi,kuwa na muda nao tu inatosha sana kwao.!!siyo mtu hukamtembelea mzazi wako miaka kibao eti kisa anakoishi netiweki haishiki,dah hiyo ni laana.
 
.....Na sisi tuliokuwa ,kama hatuna baba na wakati yupo ila haangaiki na Mimi kama mtoto , Tunacomment wapi?
 
Ikifikia hatua watu wote tukafikiria hivi tutakuwa tume-win,

Mzazi unapoleta kiumbe duniani hakikisha hakitateseka na ni jukumu lako kukiandalia mazingira mazuri ya kuishi

Sikumbuki exactly ni mstari gani katika biblia unasema mzazi bora ni yule anayeacha urithi kwa vizazi yake,

Hii habari ya wazazi wakikua waanze kutegemea watoto sio nzuri hata kidogo na ni mwanzo wa kurudishana nyuma,

Sisemi tusiwasaidie noo! Tuwasaidie kwa sababu ndo tayari walishaamini hivyo,

Ila kama wewe now unampleka shule mwanao aje kukusaidia baadae aisee kama ni mwanaume nikikushika nakuomba 0713
umeongea vizuri ila mstari wa mwisho mdio kuna shida.
 
Wajibu wa kumhudumia mtoto ni wa mzazi ila Wajibu wakumtunza mzazi ni uamuzi wa mtoto mwenyewe na sio amri
 
Back
Top Bottom