Mwanamke ni sumu kina dada mtatumaliza jamani

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu waungwana?

Leo naja kusema na akina dada munatuuwa bure wanaume kwa hakika mutabaki kua wengi kwa Visa vyenu maana munatuuwa sana wanaume mwisho wa siku kuna hatari ya kua peke yenu katika dunia hiii.

1. Pelelezeni kwa makini sana wanawake wote wanataka mapenzi ya dhati na mwanaume muaminifu kumbe wao ndio chanzo cha machafuko ya mahusiano yake.
Mwanamke hajipambi hadi atoke kuenda harusini, hamjali mwenza wake, hana maneno ya busara munajiona kama malaika.

2. Munamezidi kujipamba ili utumie roho kwa mapambo ya bandia manyoya ya wanyama muwe wazuri kazi yenu kututenga baada ya kutegeka kinachofuata ni usaliti.

3. Wanawake wanatupa mawazo kila wakati yaani matunzo, mahitaji yote ila munavyofanyiwa hamuna vyema mumetufanya maajali mingi kwa kuwarizisha nyinyi wakati hata mufanyiwe nini hamuriziki

4. Muna alianza kwa wingi kuliko wanavyozaliwa watoto wa kiume jambo linaloelekea sisi kua kidogo sana na nyinyi kua wengi kila tukijikaza tupendane nanyi tunaambulia mauti.

Wanawake muliokua katika mahusiano na ndoa nakuombeeni wapunguzieni mazila wenza wenu musiwatafutie mauti ya kusudi.
 
Mbona hamkufi
Hivi kati ya mwanamke na mwanaume wakiamua kukomeshana kwenye mahusiano nani anaeumia na kufa haraka?

Jibu ni wanaume sababu wao hawawezi kuhimili stress za mahusiano sasa basi nawasihi wawe na adabu kwetu tu vinginevyo wataisha wote kweli
 
[emoji3][emoji3] nadhani wamekusikia
 
Hivi kati ya mwanamke na mwanaume wakiamua kukomeshana kwenye mahusiano nani anaeumia na kufa haraka?

Jibu ni wanaume sababu wao hawawezi kuhimili stress za mahusiano sasa basi nawasihi wawe na adabu kwetu tu vinginevyo wataisha wote kweli
Hao wanaume wa dar siyo sisi wa mikoani.
 
Kulikoni nyoosha maelezo na pole Kwa yaliyokukuta!
 
Hivi kati ya mwanamke na mwanaume wakiamua kukomeshana kwenye mahusiano nani anaeumia na kufa haraka?

Jibu ni wanaume sababu wao hawawezi kuhimili stress za mahusiano sasa basi nawasihi wawe na adabu kwetu tu vinginevyo wataisha wote kweli
ni kweli mkuu..jumlisha nakua wanawake ni watamu mno,,si tutawaheshimu...manake kikao kilichopita pale katika mgahawa wa wimpy wanaume tulikubaliana kutokuendeshwa na wanawake..sasa kila mjumbe aliienda kuonja utamu wa wadada kashasahau maazimio ya kikao....wanawake waabudiwe...kwa pamoja tuseme aminaaaa(in pastor maboya's voice)
 
Back
Top Bottom