Yupo mtaani, anataka anirudie lakini no entry..Yule mpenzi wako ambaye ulikuwa unaongea naye Kwa sim hadi sa nane usiku till betri la sim lanahit hadi linataka kuripuka yupo wapi ???
Yupo mtaani, anataka anirudie lakini no entry..
Ameshaoa
Wew bado haujaolewa mkuu ?
Nahisi aliniweka kama akiba.. nikimrudia atanaona kama nimedororaMsameh arudi
Kasepa!Yule mpenzi wako ambaye ulikuwa unaongea naye Kwa sim hadi sa nane usiku till betri la sim lanahit hadi linataka kuripuka yupo wapi ???
Haikuwa rizikiSijui hata yuko wapi siku hizi....
Mtafut JFSijui hata yuko wapi siku hizi....