Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Kama hauna sababu ya kuoa basi hakuna haja ya kuwa na mpenzi na kumuhudumia kwa sababu kuhudumia Mpenzi ni gharama kuliko kwenda kununua huduma kila unapoitaji,
Ukiwa na mpenzi atataka kula, kuvaa, kusafiri na hela ndogo ndogo za matumizi yake, na wakati huo sio kila siku ataweza kukuhudumia endapo ukimuitaji,
ila ukiitaji huduma ni bei chee tu unapata mzigo, unalipa unapewa unapiga ukimaliza anasepa hakuna habari ya nauli wala msosi, hakuna habari ya kuumwa wala nini akija basi ujue kaja kutoa,
Kwangu ni bora kununua kuliko kumiliki na kuhudumia.
Cc zero IQ