HAPPY MOTHER'S DAY KWA KINA MAMA WOTE JF.

HAPPY MOTHER'S DAY KWA KINA MAMA WOTE JF.

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,116
Reaction score
5,370
Maalumu kwenu kina mama, haijalishi ni single mom au uko kwenye ndoa, haijalishi mtoto uliyenaye ni mzima, anaumwa au alliishatangulia, haijalishi mtoto/watoto umewapata kwa njia gani, wewe si wa kawaida, ile tu kutunza mimba mpaka kuja kujifungua iwe kawaida au kwa operation, ile kunyonyesha kila wakati hata usiku wa manane, kufua nguo/visepe vya mtoto, kushikashika mavi na mkojo wa mtoto kila siku, aisee wewe ni jasiri.

Mungu awazidishie hekima, furaha na amani kina mama wote ambao mnafanya wajibu wenu kama mama.

Ujumbe:
1. Mtoto kwa mama hakui. Mlee mtoto wako mpaka kifo kitakapo watenganisha. Kila akihitaji msaada wako, msikilize.

2. Wakabidhini watoto chini ya ulinzi wa Mungu. Kwa wakristo mnafahamu ile habari ya 'waacheni watoto wadogo waje kwangu', waliyofanya kazi ya kuwapeleka watoto kwa Yesu mpaka wanafunzi wakawazuia ni kina mama, na Yesu aliruhusu sasa wamkaribie ili awabariki watoto wao.

3. Kuwa mfano bora kwa wanao. Wanao wajivunie wewe.

4. Nawapenda kina mama wote.
 
Happy mothers' day!
joysafaribay_BwP5xvsB673.jpeg
 
Shida gani? Kwa mtoto au kwa mama? Ufafanuzi tafadhali.

Heri kwenu kina mama wote.
Kwa mama na mtoto jaribu ku google utapata maelezo...... synopsis...
C&P: If babies aren’t born head first, this is called a ‘breech’ birth. This basically means that the baby is coming out no matter what body parts are making their grand appearance first. Typically, a breech birth means that the first thing to see the light is going to be the baby’s little bottom or a teeny tiny foot kicking into the world.

Breech births aren’t overly common and generally aren’t life threatening. Doctors and midwives have ways to re-position the baby to ensure the head comes out first. But just why is it so important to see that head coming through the enlarged hole first? What difference does it really make? And when did we start placing so much emphasis on it.
 
Hizi siku zinatofautiana kimataifa eehh?.......
Thank you Mr Miller
ndio zinatofautiana, japo asilimia kubwa wanafuata ile ambayo hata TZ tunafuata.
Ukiangalia kalenda utaona huwa inakuwa jumapili ya 2 ya mwezi wa 5. Hapo kuna nchi huwa ni mwezi wa 3 na nyingine wa 4.
Na hata tarehe huwa zinabadilika, mara nyingi inakuwa tarehe 10 mpaka 13, hapo katikati.
IMG_20190512_131119_397.jpeg
 
ndio zinatofautiana, japo asilimia kubwa wanafuata ile ambayo hata TZ tunafuata.
Ukiangalia kalenda utaona huwa inakuwa jumapili ya 2 ya mwezi wa 5. Hapo kuna nchi huwa ni mwezi wa 3 na nyingine wa 4.
Na hata tarehe huwa zinabadilika, mara nyingi inakuwa tarehe 10 mpaka 13, hapo katikati.
View attachment 1095101

Asante sana.....huwa nasherekea March hii ya May naanza kuizoea sasa
 
Back
Top Bottom